Baada ya kuona mke wake corporate feminist lady kakomea watoto wawili, katafuta mchepuko form 4 kafyatua watoto wanne, ni sawa ?

Baada ya kuona mke wake corporate feminist lady kakomea watoto wawili, katafuta mchepuko form 4 kafyatua watoto wanne, ni sawa ?

Ni kijana mwenye 40s, msomi mwenye masters, muajiriwa katika taasisi kubwa, pia ni businessman, kwa ufupi pesa anayo na familia aliyotokea wanajiweza.

Alifunga ndoa na kupata watoto wawili, baada ya hapo mke wake akamwambia case closed, hakuna watoto wa ziada

Mke ni msomi mwenye degree, mwajiriwa wa serikalini, corporate lady

Ni corporate lady pia ni feminist hawa wanawake wanaamini sana mambo ya haki sawa ila kupitiliza, yupo busy na corporate life, bado anapenda mambo ya uhuru, ni those ladies ambao ndoa ni status tu lakini kuiwajibikia ni mtiti.

Sasa mwamba ni mtu wa kanda ya ziwa huko, watoto wawili bado aliona wachache sana,

Alitafuta kibinti chenye early 20s za mapema, kafyatua kopi zake nne na mpango wake bado moja kufunga hesabu.

Mchepuko unahudumiwa, watoto wote wanasoma shule nzuri na wanapata mahitaji.
Chai
 
Some big families huko "first world":

These are Christian families, mostly they homeschooling


1) The Collins (Watoto 11)

View: https://www.instagram.com/p/DZG8GLLOPNH/?igsh=MTUxZ2MxcXp3dnByNw==



2) Pastor Mwanias (Watoto 11)

View: https://www.instagram.com/p/DWw0XKHiiSa/?igsh=OXZ4c3Q0NTlrYmky


3) The Mottes (Watoto 11)

View: https://www.instagram.com/reel/Cik_IPdAydW/?igsh=MXNiZ2lsdDJvNXdoMQ==



4) The Bonell (Watoto 16)

View: https://www.instagram.com/reel/DZCQ8mxzt5k/?igsh=MWNveDZqeHBjNzNvaw==

5) The Bradleys (Watoto 10)
And this is how they're splitting the bills in 2026 :2Head:

View: https://www.instagram.com/reel/DZLKosPMB3Y/?igsh=MWxsbDZsMnQ3M3NtMw==




Wanaostahili kuzaa watoto wengi:

1) Waliokaa wenyewe chumbani na kuamua wanataka kulea watoto wengi.
Wanaopendana, sio majambazi yaliyovaa mask. Wenye akili timamu.

View attachment 3601443


2) Wanaoamini MUNGU na mpango wake kwa mwanadamu, wenye Roho ya MUNGU anayewapa Hekima / Akili / Uwezo wa kutawala hii dunia (kutawala dunia kunaanzia kwenye familia yako).

View attachment 3601445


View attachment 3601447


Wasiostahili kuwa na watoto wengi:

1) Wasio na akili timamu / viazi.

Hawa ni masokwe wanaochipukia, wako kwenye mageuzi kutoka binadamu kwenda sokwe.

Wamepungua akili za kukaa kutafuta suluhisho, kugundua vitu vipya. Wanaelekea kumuacha Mungu.

Mfano jamaa katotoa watoto 6 maisha yamekuwa magumu huko kijijini, suluhisho lake ni kumkimbia mke wake na wanawe, aende mbali ambapo hamna stress.

Mwingine anazaa mmoja tu anachanganyikiwa anakimbia, anakuja kukuchungulia baada ya miezi / miaka kuona uli handle vipi! !

View attachment 3601448


2) Wanaofikiri kupata watoto ni "kumzalisha" mwanamke. Viazi part 2.

Hawa ni sokwe waliochangamka.
Kazi yake ni "kuzalisha" kisha kwenda kujinadi kwa masokwe wenzie kuwa "amezalisha" wanawake kadhaa. Hata kama anawahudumia. They have no sense of family. They have no GOD.

View attachment 3601449


3) Wasioamini Mungu. Viazi part 3.

Hawa ni masokwe wanaoelekea ukamilifu kuwa masokwe kamili.

Masokwe hawakuagizwa kuzaa humu duniani, kwahiyo hawaoni umuhimu wa watoto.

Wala hawaoni umuhimu wa maisha, pamoja na kuwa wanasema You Only Live Once Live To The Fullest. Very ironic.

Ni waharibifu. Watu wamezaa watoto wao wamefanya makubwa huko nchi zilizoendelea wao wanaenda kula matunda ya kazi za watoto wa watu huku wakifanya uharibifu. Halafu wanasema watu wasizae kwasababu kuna uharibifu ambao ukichunguza ni wao ndo wameleta.

Hawataki kuzaa / hawana uwezo wa kuzaa wamebakia kuharibu vizazi vya wenzao kuwafundisha uchafu na kuwaambia Mungu hayupo.

Ndomaana tangu watu wa aina hii wapewe uhuru huko nchi zilizoendelea hizo nchi:

i) watu wameacha kuzaa maana wanaogopa kuleta watoto kwenye mauzauza,

ii) uchumi umekuwa mgumu kwasababu ya mifumo iliyotengenezwa isiyofuata kanuni za MUNGU bali za Ibilisi, pamoja na laana iliyoanguka juu yao.

Ndomaana wanavamiwa na waarabu / waislamu yaani maadui wana take over, wamekaribisha anguko lao.

Nchi zilizojengwa kwa misingi ya Ukristo kuuacha ukristo na kukumbatia ujingaujinga matokeo yake they are Perishing! Kama kanuni yao ya kipepo insvyosema Survival for the fittest, basi the fittest ndo hao wanaozaa kama.....

Hata ambao hawakuwa Wakristo lakini utamaduni wao kwa asili ulifuata sheria za Mungu zilizoandikwa mioyoni mwao ndomana kukatwa kichwa Japan ukivunja sheria ilikuwa dakika sifuri, toka waachane na mifumo hiyo na kukumbatia usokwe They are Perishing!

Maendeleo makubwa just to die! ! !


Highly developed South Korea, Perishing the fastest!

Maendeleo makubwa just to be taken over by a people who never worked for it! ! !

Why is this nonsense celebrated? ? ?

Oh coz Ndo akili za sokwe waliochangamka! ! Waharibifu!

View attachment 3601457

4) Ambao hawataki watoto wengi.

Sio lazima.

Kwanza uzazi design umekuwa mgumu! Mimba za kutafuta kwa sindano. Watoto wa kuzaliwa kwa kisu.

Wanawake nao wangekuwa nyumbani wanajipikilisha probably wangezaazaa, hii kwenda kuhangaika nje nayo imechangia kupunguza kuzaa, wamepnq cha kufia? ? ?


5) Naepeuka kwa nguvu kubwa kusema wasio na uwezo wasizae kwasababu Mungu hakusema tunzeni tunzeni hii bustani ikichipuachipua mzae.

Msingi sio pesa. Msingi ni huyo mke na mume.

Ndomaana pamoja na pesa watu wameishia kuzaa mmoja wawili tu kisha kugawana mijengo, mwishowe watu wanaona bora kuzaa mmoja wawili utakayemmudu mwenyewe maana aliyepaswa kuambatana na wewe kwa uaminifu mpaka mwisho haaminiki! !

Kuna video nilionyajuzi juzi mdada wa Kitz nimesahau jina anawaambia wanawake zaa kwasababu ni wewe unataka, zaa ambao unaweza kuwahudumia wewe mwenyewe, jifanye unamzalia mume utajua hujui.. na comments kibao zinamuunga mkono....it's very sad that hii ndo point hii last generation tumfika.

JESUS IS LORD!

MAKE WAY FOR THR KING OF KINGS
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

KAbla ya hatujasahau.

Sokwe mwenyewe.

Anyway
Family is a good thing.
 
Ni kijana mwenye 40s, msomi mwenye masters, muajiriwa katika taasisi kubwa, pia ni businessman, kwa ufupi pesa anayo na familia aliyotokea wanajiweza.

Alifunga ndoa na kupata watoto wawili, baada ya hapo mke wake akamwambia case closed, hakuna watoto wa ziada

Mke ni msomi mwenye degree, mwajiriwa wa serikalini, corporate lady

Ni corporate lady pia ni feminist hawa wanawake wanaamini sana mambo ya haki sawa ila kupitiliza, yupo busy na corporate life, bado anapenda mambo ya uhuru, ni those ladies ambao ndoa ni status tu lakini kuiwajibikia ni mtiti.

Sasa mwamba ni mtu wa kanda ya ziwa huko, watoto wawili bado aliona wachache sana,

Alitafuta kibinti chenye early 20s za mapema, kafyatua kopi zake nne na mpango wake bado moja kufunga hesabu.

Mchepuko unahudumiwa, watoto wote wanasoma shule nzuri na wanapata mahitaji.
Ni sawa maana wadada wa siku hizi hawathamini Ndoa
 
Back
Top Bottom