Baada ya kuona mke wake corporate feminist lady kakomea watoto wawili, katafuta mchepuko form 4 kafyatua watoto wanne, ni sawa ?

Baada ya kuona mke wake corporate feminist lady kakomea watoto wawili, katafuta mchepuko form 4 kafyatua watoto wanne, ni sawa ?

Ulikuwepo wakakwambia hiyo ndo sababu walikuwa wanazaa! ! ! Hovyo!

Watu walizaa coz that was what God created us to do.. it was their innate desire to have many children.

Hiyo ni sheria ya asili walikuwa wanaitumikia kama Mungu alivyoamuru,

na dunia imejaa kama Mungu alivyopanga, na sasa ile Great Reset Imekaribia 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sihitaji kuwepo nyakati zote za dunia kuilewa dunia katika nyakati tofauti, mimi naweza kuwa professor wako.

Na pia sihitaji hadithi zako za mashariki ya kati za bronze age za wachunga mbuzi wajima kuilewa dunia.
 
Baba unajua tu kufyatua ila sleepless nights, homework, and all the chores ni mama. Baadae mtoto kaharibika ni mama.
Mkijua kuzalisha mjue na kulea. Sio kuacha hela mezani na kujaza pantry ndio kusema unalea.
 
Kama hatamuoa au kuhalalisha Mahusiano rasmi basi atakuwa kafanya kosa kubwa la kiufundi ambalo milio ataisikia miaka ya baadae kidogo.
 
Sihitaji kuwepo nyakati zote za dunia kuilewa dunia katika nyakati tofauti, mimi naweza kuwa professor wako.

Na pia sihitaji hadithi zako za mashariki ya kati za bronze age za wachunga mbuzi wajima kuilewa dunia.
Labda professor wa usokwe.

1) Ma professor ni hawa kina
Dr. Ron Neller (Geomorphology PhD) waliotafiti wakaona kweli kulikuwa na gharika dunia nzima miaka elfu michache tu iliyopita! !


View: https://youtu.be/-FxhF6HREEw?si=zDAr9qv8CbPs1mDx


2) Kina Dr. JOhn Lennox (Mathematics PhD) wamepiga hesabu weee wamekubali MUNGU yupo! !


View: https://youtu.be/CklAhwO6QuI?si=gcj3kHYLiaEYLaK_


3) Kina Dr. James Tour (Chemistry PhD) wamechunguza weee wamehitimisha Maisha yasingeweza kuanza kwa bahati tu!


View: https://youtu.be/4XZa9477mHQ?si=RkMldmGO3D1Hz_2_


4) Kina Dr Michael Guillen (Math, Astronomy na Physics PhD)
wamekokotoa weee wakasema YESU ni BWANA.


View: https://youtu.be/XM7eoSuNoZQ?si=PGGky214SX-A9ITm


5) Kina Dr. Wesley Huff (New Testament PhD) wamefukua weee wakasema YESU NI BWANA!


View: https://youtu.be/sZmQoamSGg4?si=IbMaJu-7JQAGoAdS


6) Kina Dr. Michael Heiser (Masters in Ancient History, PhD in Hebrew Bible and Semitic Languages) wanaosema Biblia ni Neno la MUNGU!


View: https://youtu.be/yjAtG_NxU5Q?si=42vl3jYxfxF_PGc6

7) Hata anayeshikilia kiti cha akili kubwaz dunia nzima leo, Highest IQ Holder Dr. YoungHoon Kim anasema YESU ndiye jibu!

View:
View: https://youtu.be/lA_uTAtluHM?si=Ks33ChvRPuceFT61


Wewe ni professor wa ulalamishi na kulialia, na usokwesokwe.
 
Ushaniita mkuu kwahiyo tulia, that means wewe ni emptyset..!!! Nikufundishe maisha
Nimeshangaa kama wewe niwale kundi la wajinga amabalo linazaa watoto wengi ili waje wawasaidie , fanya kazi mkuu,, kuzaa hovyo sio tu kunaharibu uchumi wa nchi lakini pia kunapoteza mwelekeo wa watoto. Tanzania hapa ilipo nikwasababu ya watu wanazaliana hovyo just imagine zaidi ya watanzania milion 40 ni kizazi tegemezi ,, na nguvu kazi ni watanzania milion 25 peke yake,, halafu ninyi ndio utakuta mnapiga kelele nchi isikope🤣 ukizaa watoto watatu ningumu sana kukuta vibaka na machokoraa hapo ,, utawamudu kimalezi, kielimu, na kiafya
 
Elon Musk ana watoto wengi na ni tajiri no 1 duniani
Leta hoja nyingine

Mimi nina watoto watano na ndo kwanza wawili wako English medium schools (4.5 mil per year) na bado naishi good life huku michongo yangu ikichanua zaidi.Unadhani mimi ni maskini kisa watoto?
Ninyi ndiyo mnaoamini ili uoe kwanza uwe na pesa nyingi unasahau ukichagua mke mwema kupata kipato cha juu ni uhakika karibia 80% labda uwe mjinga mwenyewe.
Hao wazungu unaowasemea wanapingana sasa juu ya uzao maana nguvukazi imepungua kwao na matokeo yake wanakimbizana Africa kusaka wafanyakazi.Hope umenielewa vema
Jamiiforum kila mtu anasomesha english medium,
 
Inawezekana Tanzania na sehemu kubwa ya Africa inahitaji viongozi wa mkono wa chuma kama wale wa China waliopanga na kutekeleza "One Child Policy" China maana ujinga wa aina hii wa Watanzania wengi ni wazi tunaenda kuwa Nigeria, Pakistani au Bangladesh nyingine miaka michache ijayo.
Kitu chenye utata hapa ni kwamba haki ya uzazi ni haki ya kibinadamu, hutakiwi kumlazimisha mtu kuzaa watoto namba fulani. China walikuwa wanavunja haki za binadamu.

Inaonekana India wameweza kushusha namba za watoto bila kulazimisha watu, kwa kuwaelimisha tu na uchumi.

Leo nilikuwa nasoma hii article ya The Economist wanaelezea India inashusha idadi ya watoto kwa kasi kubwa sana mpaka kunatengenezeka tatizo lingine la population pyramid.

Na wanasema hata huko Africa watu wakielimika na kuendelea kiuchumi itakuwa hivyo hivyo.

 
Kuzaa watoto wengi au wachache sio suala la usasa au ujima kinacho zingatiwa ni kuzaa idadi ya watoto ambao utaweza kuwatimizia mahitaji yao basi.
Kama mtu una uwezo ww zaa hata mia nne ila hakikisha unaweza kuwatunza.
Hapana. Wewe huijui dunia tu.

Ukiangalia fertility rates za nchi za dunia utaona nchi zilizoendelea kiuchumi na kielimu watu wanazaa watoto wachache, na nchi masikini ambazo zina wajinga wengi ndiyo watu wanazaa watoto 4, 5 na kuendelea.

That is a fact.

List hii hapa

 
Hapana. Wewe huijui dunia tu.

Ukiangalia fertility rates za nchi za dunia utaona nchi zilizoendelea kiuchumi na kielimu watu wanazaa watoto wachache, na nchi masikini ambazo zina wajinga wengi ndiyo watu wanazaa watoto 4, 5 na kuendelea.

That is a fact.

List hii hapa

Suala la kuzaana ni la kiasili na asili hainaga uzamani na usasa huwa haibadiliki.
Hata ujinga na akili ni suala la asili si suala la usasa au uzamani maana hata kipindi cha ujima kulikuwepo na wenye akili na wajinga.
 
Ni kijana mwenye 40s, msomi mwenye masters, muajiriwa katika taasisi kubwa, pia ni businessman, kwa ufupi pesa anayo na familia aliyotokea wanajiweza.

Alifunga ndoa na kupata watoto wawili, baada ya hapo mke wake akamwambia case closed, hakuna watoto wa ziada

Mke ni msomi mwenye degree, mwajiriwa wa serikalini, corporate lady

Ni corporate lady pia ni feminist hawa wanawake wanaamini sana mambo ya haki sawa ila kupitiliza, yupo busy na corporate life, bado anapenda mambo ya uhuru, ni those ladies ambao ndoa ni status tu lakini kuiwajibikia ni mtiti.

Sasa mwamba ni mtu wa kanda ya ziwa huko, watoto wawili bado aliona wachache sana,

Alitafuta kibinti chenye early 20s za mapema, kafyatua kopi zake nne na mpango wake bado moja kufunga hesabu.

Mchepuko unahudumiwa, watoto wote wanasoma shule nzuri na wanapata mahitaji.
Imekaa njema sana mitano tena kwa kijana wa 40s.
 
Suala la kuzaana ni la kiasili na asili hainaga uzamani na usasa huwa haibadiliki.
Hata ujinga na akili ni suala la asili si suala la usasa au uzamani maana hata kipindi cha ujima kulikuwepo na wenye akili na wajinga.
This is argument from nature logical fallacy.

But I am sure you do not know that.

I am not even sure you know what a logical fallacy is.
 
Some big families huko "first world":

These are Christian families, mostly they homeschooling


1) The Collins (Watoto 11)

View: https://www.instagram.com/p/DZG8GLLOPNH/?igsh=MTUxZ2MxcXp3dnByNw==



2) Pastor Mwanias (Watoto 11)

View: https://www.instagram.com/p/DWw0XKHiiSa/?igsh=OXZ4c3Q0NTlrYmky


3) The Mottes (Watoto 11)

View: https://www.instagram.com/reel/Cik_IPdAydW/?igsh=MXNiZ2lsdDJvNXdoMQ==



4) The Bonell (Watoto 16)

View: https://www.instagram.com/reel/DZCQ8mxzt5k/?igsh=MWNveDZqeHBjNzNvaw==

5) The Bradleys (Watoto 10)
And this is how they're splitting the bills in 2026 :2Head:

View: https://www.instagram.com/reel/DZLKosPMB3Y/?igsh=MWxsbDZsMnQ3M3NtMw==




Wanaostahili kuzaa watoto wengi:

1) Waliokaa wenyewe chumbani na kuamua wanataka kulea watoto wengi.
Wanaopendana, sio majambazi yaliyovaa mask. Wenye akili timamu.

View attachment 3601443


2) Wanaoamini MUNGU na mpango wake kwa mwanadamu, wenye Roho ya MUNGU anayewapa Hekima / Akili / Uwezo wa kutawala hii dunia (kutawala dunia kunaanzia kwenye familia yako).

View attachment 3601445


View attachment 3601447


Wasiostahili kuwa na watoto wengi:

1) Wasio na akili timamu / viazi.

Hawa ni masokwe wanaochipukia, wako kwenye mageuzi kutoka binadamu kwenda sokwe.

Wamepungua akili za kukaa kutafuta suluhisho, kugundua vitu vipya. Wanaelekea kumuacha Mungu.

Mfano jamaa katotoa watoto 6 maisha yamekuwa magumu huko kijijini, suluhisho lake ni kumkimbia mke wake na wanawe, aende mbali ambapo hamna stress.

Mwingine anazaa mmoja tu anachanganyikiwa anakimbia, anakuja kukuchungulia baada ya miezi / miaka kuona uli handle vipi! !

View attachment 3601448


2) Wanaofikiri kupata watoto ni "kumzalisha" mwanamke. Viazi part 2.

Hawa ni sokwe waliochangamka.
Kazi yake ni "kuzalisha" kisha kwenda kujinadi kwa masokwe wenzie kuwa "amezalisha" wanawake kadhaa. Hata kama anawahudumia. They have no sense of family. They have no GOD.

View attachment 3601449


3) Wasioamini Mungu. Viazi part 3.

Hawa ni masokwe wanaoelekea ukamilifu kuwa masokwe kamili.

Masokwe hawakuagizwa kuzaa humu duniani, kwahiyo hawaoni umuhimu wa watoto.

Wala hawaoni umuhimu wa maisha, pamoja na kuwa wanasema You Only Live Once Live To The Fullest. Very ironic.

Ni waharibifu. Watu wamezaa watoto wao wamefanya makubwa huko nchi zilizoendelea wao wanaenda kula matunda ya kazi za watoto wa watu huku wakifanya uharibifu. Halafu wanasema watu wasizae kwasababu kuna uharibifu ambao ukichunguza ni wao ndo wameleta.

Hawataki kuzaa / hawana uwezo wa kuzaa wamebakia kuharibu vizazi vya wenzao kuwafundisha uchafu na kuwaambia Mungu hayupo.

Ndomaana tangu watu wa aina hii wapewe uhuru huko nchi zilizoendelea hizo nchi:

i) watu wameacha kuzaa maana wanaogopa kuleta watoto kwenye mauzauza,

ii) uchumi umekuwa mgumu kwasababu ya mifumo iliyotengenezwa isiyofuata kanuni za MUNGU bali za Ibilisi, pamoja na laana iliyoanguka juu yao.

Ndomaana wanavamiwa na waarabu / waislamu yaani maadui wana take over, wamekaribisha anguko lao.

Nchi zilizojengwa kwa misingi ya Ukristo kuuacha ukristo na kukumbatia ujingaujinga matokeo yake they are Perishing! Kama kanuni yao ya kipepo insvyosema Survival for the fittest, basi the fittest ndo hao wanaozaa kama.....

Hata ambao hawakuwa Wakristo lakini utamaduni wao kwa asili ulifuata sheria za Mungu zilizoandikwa mioyoni mwao ndomana kukatwa kichwa Japan ukivunja sheria ilikuwa dakika sifuri, toka waachane na mifumo hiyo na kukumbatia usokwe They are Perishing!

Maendeleo makubwa just to die! ! !


Highly developed South Korea, Perishing the fastest!

Maendeleo makubwa just to be taken over by a people who never worked for it! ! !

Why is this nonsense celebrated? ? ?

Oh coz Ndo akili za sokwe waliochangamka! ! Waharibifu!

View attachment 3601457

4) Ambao hawataki watoto wengi.

Sio lazima.

Kwanza uzazi design umekuwa mgumu! Mimba za kutafuta kwa sindano. Watoto wa kuzaliwa kwa kisu.

Wanawake nao wangekuwa nyumbani wanajipikilisha probably wangezaazaa, hii kwenda kuhangaika nje nayo imechangia kupunguza kuzaa, wamepnq cha kufia? ? ?


5) Naepeuka kwa nguvu kubwa kusema wasio na uwezo wasizae kwasababu Mungu hakusema tunzeni tunzeni hii bustani ikichipuachipua mzae.

Msingi sio pesa. Msingi ni huyo mke na mume.

Ndomaana pamoja na pesa watu wameishia kuzaa mmoja wawili tu kisha kugawana mijengo, mwishowe watu wanaona bora kuzaa mmoja wawili utakayemmudu mwenyewe maana aliyepaswa kuambatana na wewe kwa uaminifu mpaka mwisho haaminiki! !

Kuna video nilionyajuzi juzi mdada wa Kitz nimesahau jina anawaambia wanawake zaa kwasababu ni wewe unataka, zaa ambao unaweza kuwahudumia wewe mwenyewe, jifanye unamzalia mume utajua hujui.. na comments kibao zinamuunga mkono....it's very sad that hii ndo point hii last generation tumfika.

JESUS IS LORD!

MAKE WAY FOR THR KING OF KINGS
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Are you talking about the Mormons in Utah and Idaho?
 
Back
Top Bottom