AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hakuna binti wa miaka 20+ atakubari umzalishe mara 4 mfululizo nakueleza by experience hayupo, kwa hio hii ni chaiNi sawa kabisa
Hakuna binti wa miaka 20+ atakubari umzalishe mara 4 mfululizo nakueleza by experience hayupo, kwa hio hii ni chaiNi sawa kabisa
Kuzaa watoto wengi naweza kuelewa miaka ya baba zetu huko nyuma, lakini kwa miaka hii ni dalili ya kukosa elimu na kuishi kijima.As long as anaweza kutimiza majukumu sioni shida
nawajua wazee wengi sana huwa wanajutia kuwa na watoto wachache uzeeni, wengine wanajutia kutokuwa na watoto kabisa, ila ni wazee wachache sana walioweza kulea watoto wao huwa wanajutia kuwa na watoto wengi ambao muda huo wameshakuwa watu wazima
kila mtu ana mtazamo wake wa maisha, wengine hawataki watoto, wengine wanataka moja, wawili, wengine wanataka wengi
Mazingira tofauti, huku mtoto muda wowote anakufa kwa bodaboda, uzembe wa dereva wa school bus, dada wa kaz na madokta uchwara, maradhi n.kKuzaa watoto wengi naweza kuelewa miaka ya baba zetu huko nyuma, lakini kwa miaka hii ni dalili ya kukosa elimu na kuishi kijima.
Angalia nchi zote zilizoendelea zenye watu walio na elimu halafu angalia idadi ya watoto. Utaona watoto wachache.
Halafu angalia nchi ambazo hazijaendelea zenye watu wajinga wengi, utaona idadi kubwa ya watoto.
Baada ya kuangalia hizi namba kama hujaelewa bado kuwa kuzaa watoto wengi ni alama ya umasikini na ujinga utakuwa na matatizo.
Elon Musk ana watoto wengi na ni tajiri no 1 dunianiKuzaa watoto wengi naweza kuelewa miaka ya baba zetu huko nyuma, lakini kwa miaka hii ni dalili ya kukosa elimu na kuishi kijima.
Angalia nchi zote zilizoendelea zenye watu walio na elimu halafu angalia idadi ya watoto. Utaona watoto wachache.
Halafu angalia nchi ambazo hazijaendelea zenye watu wajinga wengi, utaona idadi kubwa ya watoto.
Baada ya kuangalia hizi namba kama hujaelewa bado kuwa kuzaa watoto wengi ni alama ya umasikini na ujinga utakuwa na matatizo.
Nyie natalists wa KiAfrica hamna akili. Trump amechaguliwa sababu mojawapo kubwa ikiwa ni afukuze manamba wahamiaji wa nchi za ulimwengu wa tatu za Africa, Ulaya yote vyama visivyotaka manamba kutoka Africa ndivyo vinazidi kuongezeka umaarafu na kushinda uchaguzi.Elon Musk ana watoto wengi na ni tajiri no 1 duniani
Leta hoja nyingine
Mimi nina watoto watano na ndo kwanza wawili wako English medium schools (4.5 mil per year) na bado naishi good life huku michongo yangu ikichanua zaidi.Unadhani mimi ni maskini kisa watoto?
Ninyi ndiyo mnaoamini ili uoe kwanza uwe na pesa nyingi unasahau ukichagua mke mwema kupata kipato cha juu ni uhakika karibia 80% labda uwe mjinga mwenyewe.
Hao wazungu unaowasemea wanapingana sasa juu ya uzao maana nguvukazi imepungua kwao na matokeo yake wanakimbizana Africa kusaka wafanyakazi.Hope umenielewa vema
Una maelezo meeengiii!Yuko wapi huyo mzee baba apewe tuzo?Ni kijana mwenye 40s, msomi mwenye masters, muajiriwa katika taasisi kubwa, pia ni businessman, kwa ufupi pesa anayo na familia aliyotokea wanajiweza.
alifunga ndoa na kupata watoto wawili, baada ya hapo mke wake akamwambia case closed, hakuna watoto wa ziada
mke ni msomi mwenye degree, mwajiriwa wa serikalini, corporate lady
ni corporate lady pia ni feminist hawa wanawake wanaamini sana mambo ya haki sawa ila kupitiliza, yupo busy na corporate life, bado anapenda mambo ya uhuru, ni those ladies ambao ndoa ni status tu lakini kuiwajibikia ni mtiti.
Sasa mwamba ni mtu wa kanda ya ziwa huko, watoto wawili bado aliona wachache sana,
alitafuta kibinti chenye early 20s za mapema, kafyatua kopi zake nne na mpango wake bado moja kufunga hesabu.
Mchepuko unahudumiwa, watoto wote wanasoma shule nzuri na wanapata mahitaji.
Kwa hiyo Sisi tufanyeje? Unatushirikisha ujinga! Mwache na maisha yake!Ni kijana mwenye 40s, msomi mwenye masters, muajiriwa katika taasisi kubwa, pia ni businessman, kwa ufupi pesa anayo na familia aliyotokea wanajiweza.
alifunga ndoa na kupata watoto wawili, baada ya hapo mke wake akamwambia case closed, hakuna watoto wa ziada
mke ni msomi mwenye degree, mwajiriwa wa serikalini, corporate lady
ni corporate lady pia ni feminist hawa wanawake wanaamini sana mambo ya haki sawa ila kupitiliza, yupo busy na corporate life, bado anapenda mambo ya uhuru, ni those ladies ambao ndoa ni status tu lakini kuiwajibikia ni mtiti.
Sasa mwamba ni mtu wa kanda ya ziwa huko, watoto wawili bado aliona wachache sana,
alitafuta kibinti chenye early 20s za mapema, kafyatua kopi zake nne na mpango wake bado moja kufunga hesabu.
Mchepuko unahudumiwa, watoto wote wanasoma shule nzuri na wanapata mahitaji.
Ajue kabisa ametengeneza bomu hapo!Ni hatua nzuri kimaendeleo, apongezwe
Inawezekana Tanzania na sehemu kubwa ya Africa inahitaji viongozi wa mkono wa chuma kama wale wa China waliopanga na kutekeleza "One Child Policy" China maana ujinga wa aina hii wa Watanzania wengi ni wazi tunaenda kuwa Nigeria, Pakistani au Bangladesh nyingine miaka michache ijayo.Nimekwambia angalia averages za nchi achana na hao wajinga wanao fail up mtu mmoja mmoja kina Elon Musk.
Marekani ina fertility rate ya 1.62 children.
That is a country wide statement. Acha kuangalia mtu mmoja.
Unajua fertility rate ni nini wewe?
Tafita nchi moja ikiyiendelea kiuchumi na kielimu yenye fertility rate ya watoto 5 au zaidi. Hakuna.
Utakuta unaenda Burundi na Niger, nchi ambazo wanawake wanazaa sana kwa sababu hawaendi shule.
Hiyo English Medium unayotambia huko shithole country haifikii hata public school ya Marekani. Wewe ni limbukeni tu hujajua. Huijui dunia.
Wewe ni kati ya wajinga niliowataja ambao wapo mkunduni mwa dunia huko hata hujui fertility rate ni nini you do not count katika watu wanaoelewa wanafanya nini katika hii dunia.
Wewe unaelewa kika Mtanzania akizaa kama wewe baada ya miaka 50 hiyo nchi itakuwaje?
Unaelewa matatizo ya economic growth kwenye nchi ya wajinga wengi wanaozaliana kama wewe?
Unafahamu matatizo ya mazingira yatakayosababishwa na wajinga wengi wanaozaliana kama wewe?
Au unazaa tu bila kutumia akili kama sungura?
Ushamuogopa mkeo?Kuna drama za wake wa nyumbani kuachwa halafu kuna scenarion nyingine kabisa za corporate feminist lady kuachwa, elimu ipo, wanaijua sheria, wana connections, wana power... ni jambo jengine kabisa
zaeni mkaujaze ulimwengu🐒Ni kijana mwenye 40s, msomi mwenye masters, muajiriwa katika taasisi kubwa, pia ni businessman, kwa ufupi pesa anayo na familia aliyotokea wanajiweza.
alifunga ndoa na kupata watoto wawili, baada ya hapo mke wake akamwambia case closed, hakuna watoto wa ziada
mke ni msomi mwenye degree, mwajiriwa wa serikalini, corporate lady
ni corporate lady pia ni feminist hawa wanawake wanaamini sana mambo ya haki sawa ila kupitiliza, yupo busy na corporate life, bado anapenda mambo ya uhuru, ni those ladies ambao ndoa ni status tu lakini kuiwajibikia ni mtiti.
Sasa mwamba ni mtu wa kanda ya ziwa huko, watoto wawili bado aliona wachache sana,
alitafuta kibinti chenye early 20s za mapema, kafyatua kopi zake nne na mpango wake bado moja kufunga hesabu.
Mchepuko unahudumiwa, watoto wote wanasoma shule nzuri na wanapata mahitaji.
Kwanini? Mbona mi nimemzalisha watoto 5 mnyamwezi wangu?Binti mwenye miaka 20+ hawezi kukubari umzalishe watoto wanne mfululizo, hii ni chai Mzee wangu tupumzishe
😀😀😀😀 Ila watuKwa nini anataka watoto wengi kama Sungura?
Fresh tu cha mhim anahudumiaNi kijana mwenye 40s, msomi mwenye masters, muajiriwa katika taasisi kubwa, pia ni businessman, kwa ufupi pesa anayo na familia aliyotokea wanajiweza.
alifunga ndoa na kupata watoto wawili, baada ya hapo mke wake akamwambia case closed, hakuna watoto wa ziada
mke ni msomi mwenye degree, mwajiriwa wa serikalini, corporate lady
ni corporate lady pia ni feminist hawa wanawake wanaamini sana mambo ya haki sawa ila kupitiliza, yupo busy na corporate life, bado anapenda mambo ya uhuru, ni those ladies ambao ndoa ni status tu lakini kuiwajibikia ni mtiti.
Sasa mwamba ni mtu wa kanda ya ziwa huko, watoto wawili bado aliona wachache sana,
alitafuta kibinti chenye early 20s za mapema, kafyatua kopi zake nne na mpango wake bado moja kufunga hesabu.
Mchepuko unahudumiwa, watoto wote wanasoma shule nzuri na wanapata mahitaji.
Nani kakudanganya? Labda uwe huna helaBinti mwenye miaka 20+ hawezi kukubari umzalishe watoto wanne mfululizo, hii ni chai Mzee wangu tupumzishe
Kuzaa watoto wengi au wachache sio suala la usasa au ujima kinacho zingatiwa ni kuzaa idadi ya watoto ambao utaweza kuwatimizia mahitaji yao basi.Watoto 6 kwani anaishi kwenye ujima bado?