Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,656
- 9,074
Anajua kujiamulia mambo.
hivi corporate lady ni lady wa aina gani ?Ni kijana mwenye 40s, msomi mwenye masters, muajiriwa katika taasisi kubwa, pia ni businessman, kwa ufupi pesa anayo na familia aliyotokea wanajiweza.
alifunga ndoa na kupata watoto wawili, baada ya hapo mke wake akamwambia case closed, hakuna watoto wa ziada
mke ni msomi mwenye degree, mwajiriwa wa serikalini, corporate lady
ni corporate lady pia ni feminist hawa wanawake wanaamini sana mambo ya haki sawa ila kupitiliza, yupo busy na corporate life, bado anapenda mambo ya uhuru, ni those ladies ambao ndoa ni status tu lakini kuiwajibikia ni mtiti.
Sasa mwamba ni mtu wa kanda ya ziwa huko, watoto wawili bado aliona wachache sana,
alitafuta kibinti chenye early 20s za mapema, kafyatua kopi zake nne na mpango wake bado moja kufunga hesabu.
Mchepuko unahudumiwa, watoto wote wanasoma shule nzuri na wanapata mahitaji.
Hakuna mtu aliyekuzuia kuoa wake wengi, usisingizie mtu, kama unataka kuoa wake wengi ni ruhusa.Aliyeleta propaganda za mke mmoja, alileta janga kubwa sana
Kuzaa watoto wengi ni ujima na Kuna watu ni mabilionea kama Elon Musk ila bado wana ujima.Kuzaa watoto wengi au wachache sio suala la usasa au ujima kinacho zingatiwa ni kuzaa idadi ya watoto ambao utaweza kuwatimizia mahitaji yao basi.
Kama mtu una uwezo ww zaa hata mia nne ila hakikisha unaweza kuwatunza.
Kuoa kwenyewe unapimwa na uzito wa pesa ulizonazo labda Baba yako alikuozesha dada yako ndio maana hauelewi uzito wa kitu unachokizungumziaNinyi ndiyo mnaoamini ili uoe kwanza uwe na pesa nyingi

Wanawake siku hizi hawapendi mambo ya kuzaa sana hususani mjini acha huko kijijiniKuzaa watoto wengi ni ujima na Kuna watu ni mabilionea kama Elon Musk ila bado wana ujima.
Sungura ama siliKwa nini anataka watoto wengi kama Sungura?
Sio wanawake tu, sehemu nyingi duniani watu wakishaelimika vizuri na kuanza kuishi mijini kwa wingi wengi wao hawapendelei na hawaoni umuhimu wa kuwa na watoto wengi kama Sungura.Wanawake siku hizi hawapendi mambo ya kuzaa sana hususani mjini acha huko kijijini
Labda unazungumzia Wahadzabe na wale watu wa HanangMsingi sio pesa. Msingi ni huyo mke na mume.
GharamaSio wanawake tu, sehemu nyingi duniani watu wakishaelimika vizuri na kuanza kuishi mijini kwa wingi wengi wao hawapendelei na hawaoni umuhimu wa kuwa na watoto wengi kama Sungura.
Sio gharama tu bali umuhimu wa wototo wengi unapungua hata kwa matajiri wengi wasomi. Sababu kubwa zamani watu walikuwa na wototo wengi ni kwa sababu vifo vya watoto chini ya miaka mitano vilikuwa vingi sana, watoto ilikuwa kwa ajili ya kulima mashamba, kuchunga mifugo na kuongeza nguvu ya ulinzi kwa familia. Sasa hivi mtindo wa maisha wa binadamu umeshabadilika sana.Gharama
Sijadili na mtu anayeabudu pesa.Labda unazungumzia Wahadzabe na wale watu wa Hanang
Fanya kazi mkuu kwa bidii usije kuwa tegemezi kwa watoto uzeeniAs long as anaweza kutimiza majukumu sioni shida
nawajua wazee wengi sana huwa wanajutia kuwa na watoto wachache uzeeni, wengine wanajutia kutokuwa na watoto kabisa, ila ni wazee wachache sana walioweza kulea watoto wao huwa wanajutia kuwa na watoto wengi ambao muda huo wameshakuwa watu wazima
kila mtu ana mtazamo wake wa maisha, wengine hawataki watoto, wengine wanataka moja, wawili, wengine wanataka wengi
shule uliishia la ngapi mkuuHIVYO NDIO INATAKIWA mke akijifanya anaishia kuzaa watoto 2 au 3 basi tafuta mwanamke mwingine zaa nae watoto wasio pungua 3 au 5
Ni upungufu wa akili na ni upumbavu mwanaume unakufa una watoto chini ya 4 au 5
Suala la kuwa na watoto ni suala la uamuzi wa mtu tu na sio suala la ujima au usasa maana hata hicho kipindi cha ujima wapo watu hawakuzaa kabisa achilia mbali kuzaa hata hao wachache.Kuzaa watoto wengi ni ujima na Kuna watu ni mabilionea kama Elon Musk ila bado wana ujima.
Ulikuwepo wakakwambia hiyo ndo sababu walikuwa wanazaa! ! ! ! ! Hovyo!Sio gharama tu bali umuhimu wa wototo wengi unapungua hata kwa matajiri wengi wasomi. Sababu kubwa zamani watu walikuwa na wototo wengi ni kwa sababu vifo vya watoto chini ya miaka mitano vilikuwa vingi sana, watoto ilikuwa kwa ajili ya kulima mashamba, kuchunga mifugo na kuongeza nguvu ya ulinzi kwa familia. Sasa hivi mtindo wa maisha wa binadamu umeshabadilika sana.
Tunapoengelea masuala ya kijamii tunaongelea kwa wingi na wastani (averages).Suala la kuwa na watoto ni suala la uamuzi wa mtu tu na sio suala la ujima au usasa maana hata hicho kipindi cha ujima wapo watu hawakuzaa kabisa achilia mbali kuzaa hata hao wachache.