MchepukoHako ka early 20 ni ka single mother au nako amekaoa?
Afanye akaoe kabisa.Mchepuko
Kuna drama za wake wa nyumbani kuachwa halafu kuna scenarion nyingine kabisa za corporate feminist lady kuachwa, elimu ipo, wanaijua sheria, wana connections, wana power... ni jambo jengine kabisaAfanye akaoe kabisa.
Corp lady hajui kinachoendelea?Kuna drama za wake wa nyumbani kuachwa halafu kuna scenarion nyingine kabisa za corporate feminist lady kuachwa, elimu ipo, wanaijua sheria, wana connections, wana power... ni jambo jengine kabisa
Watoto 6 kwani anaishi kwenye ujima bado?Ni kijana mwenye 40s, msomi mwenye masters, muajiriwa katika taasisi kubwa, pia ni businessman, kwa ufupi pesa anayo na familia aliyotokea wanajiweza.
alifunga ndoa na kupata watoto wawili, baada ya hapo mke wake akamwambia case closed, hakuna watoto wa ziada
mke ni msomi mwenye degree, mwajiriwa wa serikalini, corporate lady
ni corporate lady pia ni feminist hawa wanawake wanaamini sana mambo ya haki sawa ila kupitiliza, yupo busy na corporate life, bado anapenda mambo ya uhuru, ni those ladies ambao ndoa ni status tu lakini kuiwajibikia ni mtiti.
Sasa mwamba ni mtu wa kanda ya ziwa huko, watoto wawili bado aliona wachache sana,
alitafuta kibinti chenye early 20s za mapema, kafyatua kopi zake nne na mpango wake bado moja kufunga hesabu.
Mchepuko unahudumiwa, watoto wote wanasoma shule nzuri na wanapata mahitaji.
As long as anaweza kutimiza majukumu sioni shidaWatoto 6 kwani anaishi kwenye ujima bado?
Ni sawa kabisaNi kijana mwenye 40s, msomi mwenye masters, muajiriwa katika taasisi kubwa, pia ni businessman, kwa ufupi pesa anayo na familia aliyotokea wanajiweza.
alifunga ndoa na kupata watoto wawili, baada ya hapo mke wake akamwambia case closed, hakuna watoto wa ziada
mke ni msomi mwenye degree, mwajiriwa wa serikalini, corporate lady
ni corporate lady pia ni feminist hawa wanawake wanaamini sana mambo ya haki sawa ila kupitiliza, yupo busy na corporate life, bado anapenda mambo ya uhuru, ni those ladies ambao ndoa ni status tu lakini kuiwajibikia ni mtiti.
Sasa mwamba ni mtu wa kanda ya ziwa huko, watoto wawili bado aliona wachache sana,
alitafuta kibinti chenye early 20s za mapema, kafyatua kopi zake nne na mpango wake bado moja kufunga hesabu.
Mchepuko unahudumiwa, watoto wote wanasoma shule nzuri na wanapata mahitaji.
Binti mwenye miaka 20+ hawezi kukubari umzalishe watoto wanne mfululizo, hii ni chai Mzee wangu tupumzishealitafuta kibinti chenye early 20s za mapema, kafyatua kopi zake nne na mpango wake bado moja kufunga hesabu.
Hii ni chai ya rangi i na ma- andazi mawiliAs long as anaweza kutimiza majukumu sioni shida
nawajua wazee wengi sana huwa wanajutia kuwa na watoto wachache uzeeni, wengine wanajutia kutokuwa na watoto kabisa, ila ni wazee wachache sana walioweza kulea watoto wao huwa wanajutia kuwa na watoto wengi ambao muda huo wameshakuwa watu wazima
kila mtu ana mtazamo wake wa maisha, wengine hawataki watoto, wengine wanataka moja, wawili, wengine wanataka wengi