mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sasa dada ujue mwanaume ndo kichwa cha familia.Sikudanganyi best bora nipeleke kwa watoto yatima nitapata baraka kuliko kumpa hata elf 50
Nitafute nikupe ushaur juu ya kitu gan ufanyie hiyo pesa 🤓Miez kazaa nyuma niliondokea na baba mzazi,,, tukaanza process za mirath, wiki iliyopita tumepata kama mil 18 kila mtu,
Sasa huyu shemej yenu simuelew hapo nyuma alibadilika akawa haelewk tangu mirath imetoka kawa mpole mapenz motomoto simuelew kaamua kujirekebisha au nii hii mirath anaiwinda
hapa nimetulia pesa nimeweka bank sijajua naifanyia nn.
Hiyo Heineken imentia hamu, yani ningeipata kwanza naifungua kwa meno kisha naimiminia yote ndio nashusha chupa chini, bia tamu.Karibu uholanzi 😋View attachment 2001289
Yani unakula hio bottle kisha inasindikizwa na hio ngoma ya Marioo bia tammm! Aisee ni bad azz!Hiyo Heineken imentia hamu, yani ningeipata kwanza naifungua kwa meno kisha naimiminia yote ndio nashusha chupa chini, bia tamu.
Akili za ajabu🤣!!!Wewe utachunwa mpaka ukome!
Mwanaume akiwa hana hela unaweza mtia hata madole akasema asante!.. ametulia kwa ajili ya hela zako zikiisha utaisoma namba nakwambia!
Cha kufanya lipotezee usilipe hata shilingi usije kujuta huko badae!
Huu ubahili ni A-LevelHapana 15 yote hiyo???
Nunua boxa 5000
Vest 2500
na hankerchief 1000
Hivi unawajua hawa wanawake Au unawasikia, maiishaaaa mtoa mada hawezi mpa mwanaume wake hata thumuni EnglishladyBe careful na matumizi
Ila kwakuwa ni mumeo japo mmetengana vyumba mpe 2M kiroho Safi out of 18 si hela nyingi, najua anatakua amekufanyia mengi.
Utaishi kwa amani bila kisirani chake.
Ila zitumie vizuri sana
Ubahili hauna sup huuHuu ubahili ni A-Level
Sikudanganyi best bora nipeleke kwa watoto yatima nitapata baraka kuliko kumpa hata elf 50
Sasa kwa hali hio si mtakuwa mnakalia mkeka hapo sebleni😅 jamani!Ubahili hauna sup huu
Fresh tu, waarabu na visima vya mafuta... sebleni wanakalia mazuria, mi ni nani ninunue misofa ya milioniSasa kwa hali hio si mtakuwa mnakalia mkeka hapo sebleni😅 jamani!
Na makochi ya Mninga ya kufunikwa vitambaa😅
Kila benki huwa na fixed akaunti.hapo kwenye fixed AC naomba bas kama unauelewa kidogo unisaidie maana naliwaza hili sana ,,,
Asimpe hata 50,000!!!!Be careful na matumizi
Ila kwakuwa ni mumeo japo mmetengana vyumba mpe 2M kiroho Safi out of 18 si hela nyingi, najua anatakua amekufanyia mengi.
Utaishi kwa amani bila kisirani chake.
Ila zitumie vizuri sana
Endelea akutulia hivyo Hivyo, Anawinda hela huyo ukizubaa utashangaa huna kitu na Utakuja hapa Kuomba ushauri na Kamasi zinakutoka Kama KondooMiez kazaa nyuma niliondokea na baba mzazi,,, tukaanza process za mirath, wiki iliyopita tumepata kama mil 18 kila mtu,
Sasa huyu shemej yenu simuelew hapo nyuma alibadilika akawa haelewk tangu mirath imetoka kawa mpole mapenz motomoto simuelew kaamua kujirekebisha au nii hii mirath anaiwinda
hapa nimetulia pesa nimeweka bank sijajua naifanyia nn.
Kama hujui cha kufanyia unaiweka benki inatulia. Usimtishe, kinachofanya mtu afilisike mara tu baada ya kupata hela nyingi ya ghafla ni pale anapokuwa anawashwa na pesa.Ukishakuwa na hela halafu hujui utaifanyia nini amini kwamba soon utajikuta hauna kitu.
Ilitakiwa wakati upo kwenye mchakato wa kuipata upange kabisa chakufanya.
I know madam na nashindwa cha kufanya zaid ya kukubali ukweliJua tu hajawai kukupenda
Wewe hajawahi kukupa hata hiyo elfu hamsini? Wanawake mpunguzage ubinafsi banaSikudanganyi best bora nipeleke kwa watoto yatima nitapata baraka kuliko kumpa hata elf 50