mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sasa dada ujue mwanaume ndo kichwa cha familia.Sikudanganyi best bora nipeleke kwa watoto yatima nitapata baraka kuliko kumpa hata elf 50
Uenda akawa na mawazo mazuri
Kaa nae mshauriane ni biashara ipi,mtashare vipi na faida mtagawana vipi.
Ila Sasa ujue ukatoa zaidi ya hapo