Baada ya kuona nimepata mirathi kawa mpole sana

Baada ya kuona nimepata mirathi kawa mpole sana

Miez kazaa nyuma niliondokea na baba mzazi,,, tukaanza process za mirath, wiki iliyopita tumepata kama mil 18 kila mtu,
Sasa huyu shemej yenu simuelew hapo nyuma alibadilika akawa haelewk tangu mirath imetoka kawa mpole mapenz motomoto simuelew kaamua kujirekebisha au nii hii mirath anaiwinda
hapa nimetulia pesa nimeweka bank sijajua naifanyia nn.
Nitafute nikupe ushaur juu ya kitu gan ufanyie hiyo pesa 🤓
 
Wewe utachunwa mpaka ukome!

Mwanaume akiwa hana hela unaweza mtia hata madole akasema asante!.. ametulia kwa ajili ya hela zako zikiisha utaisoma namba nakwambia!

Cha kufanya lipotezee usilipe hata shilingi usije kujuta huko badae!
Akili za ajabu🤣!!!
A man will always be a man. Kama ni leader atakuwa leader kama ni ndezi basi ataendelea kuwa ndezi tu
 
Be careful na matumizi

Ila kwakuwa ni mumeo japo mmetengana vyumba mpe 2M kiroho Safi out of 18 si hela nyingi, najua anatakua amekufanyia mengi.

Utaishi kwa amani bila kisirani chake.

Ila zitumie vizuri sana
Hivi unawajua hawa wanawake Au unawasikia, maiishaaaa mtoa mada hawezi mpa mwanaume wake hata thumuni Englishlady
 
Sikudanganyi best bora nipeleke kwa watoto yatima nitapata baraka kuliko kumpa hata elf 50

Kwa mfano huyo mwanaume wako angepata hiyo million 18 za mirathi, half ww huna kitu, ungetaka yeye akupe wewe tshs ngapi.

Mkuki kwa nguruwe, unahisi boyfriend wako yuko na ww na anakutreat vizuri sababu ya pesa zako, kumbe na nyie wadada hamtakagi kupendewa hela, yaliyokukuta we mtoa mada ndo yanatukuta sisi wanaume kila cku lady in action witnessj Evelyn Salt
 
Mnaweza mkamshauri mwenzenu asimmpe huyo mmewe kisa tu wamenuniana wanalala vyumba tofauti....lkn hamja angalia sababu ilio pelekea walale tofauti usikute mwanamke ndio anamatatizo.

Pia anaweza asimpe mtaji mmewe kwa kumkomoa au kuwafurahisha washauri wake then hizo hela zikaenda kuteketea kwa mchepuko wa mwanamke Hadi zikaisha ........ Bora aampe huyo mmewe hata milioni tano tu huenda anaweza akafanya kitu Cha maana na watoto wakafaidika na watoto siku zote ni wa mwanamke ...na wakisha faidika watoto tayari hata mama yao atakua kafaidika.

Vinginevyo wewe Dada unajitengenezea kombola moja hatari milioni 18 sio nyingi kiivo . Japo kua huyo mwanaume unamlaumu na kumuona hafai ila naamini anamazuri yake mengi tu na ndio yanawafanya muwepo wote Hadi hii leo ....hiyo ni familia yako no matter what .....kumnyima hela sio kusema ndio atakufa au ataumia ila utamfanya akuone ni jinsi gani anaishi na mtu wa ajabu na ikitokea siku zikaisha hizo hela Dada anguu hii dunia itakuangukia .....

Mpe milioni tano kwa awamu awamu huku ukichunguza maendeleo ya hiyo biashara anayo isema ..... Kama hauta nufaika nayo wewe watoto wako watanufaika na wakinufaika watoto mama tayari umenufaika cos watoto ni wa mama.

Acha kujazana ujinga na watu wabinafsi .....Dada yangu hiyo ni familia yako no matter what.
 
hapo kwenye fixed AC naomba bas kama unauelewa kidogo unisaidie maana naliwaza hili sana ,,,
Kila benki huwa na fixed akaunti.
Zjnguka benkj mbili tatu ujue rate zao wanazotoa.
Najua TCB zamani benki ya posta rate yao ni nzuri.
Fungua iweke huko hata miaka 3. Itakuja kukusaidia baadae
 
Be careful na matumizi

Ila kwakuwa ni mumeo japo mmetengana vyumba mpe 2M kiroho Safi out of 18 si hela nyingi, najua anatakua amekufanyia mengi.

Utaishi kwa amani bila kisirani chake.

Ila zitumie vizuri sana
Asimpe hata 50,000!!!!
 
Miez kazaa nyuma niliondokea na baba mzazi,,, tukaanza process za mirath, wiki iliyopita tumepata kama mil 18 kila mtu,
Sasa huyu shemej yenu simuelew hapo nyuma alibadilika akawa haelewk tangu mirath imetoka kawa mpole mapenz motomoto simuelew kaamua kujirekebisha au nii hii mirath anaiwinda
hapa nimetulia pesa nimeweka bank sijajua naifanyia nn.
Endelea akutulia hivyo Hivyo, Anawinda hela huyo ukizubaa utashangaa huna kitu na Utakuja hapa Kuomba ushauri na Kamasi zinakutoka Kama Kondoo

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Ukishakuwa na hela halafu hujui utaifanyia nini amini kwamba soon utajikuta hauna kitu.

Ilitakiwa wakati upo kwenye mchakato wa kuipata upange kabisa chakufanya.
Kama hujui cha kufanyia unaiweka benki inatulia. Usimtishe, kinachofanya mtu afilisike mara tu baada ya kupata hela nyingi ya ghafla ni pale anapokuwa anawashwa na pesa.
 
Back
Top Bottom