Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha rohombaya weweAsimpe hata 50,000!!!!
Wewe ushenzi wake unaujua?Usimpe hata 10 mshenzi huyo! Halafu Hio hela ukiitumia vibaya itaisha bila kuelewa uliifanyia nini cha maana. Be careful kwenye matumizi !
Hayuko sahihiHivi unawajua hawa wanawake Au unawasikia, maiishaaaa mtoa mada hawezi mpa mwanaume wake hata thumuni Englishlady
Acheni uchoyo wanawake wenzangu.Asimpe hata 50,000!!!!
Hapo kwenye kucheka hatuna shida napo ... Ila hapo unapokojoa ndo umetuacha njiani ...ni mkojo gan wakawaida au ulee...........[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Et siku hizi naandikiwa sms mchana mamy umekula..yan nacheka mpaka nakojoa
Sasa nawewe km umemgundua hana mapenzi nawewe, nawe pia huna mapenzi naye, na amevutika na pesa tu mchane faster ili ajikatae, usimfuge fuge mwishoni akikuona unakuwa mgumu zaid anaweza kukuua au kukutengenezea mtego wowote achukue hela hiyoEt siku hizi naandikiwa sms mchana mamy umekula..yan nacheka mpaka nakojoa
Unatusingizia bure tu mkuuuTafuta sehemu nzuri nunua viwanja vyako kama vi 3, kutokana na sehemu hiyo.hakikisha havina mgogoro, hakikisha una hati. Piga kimya. Kama kuna kitu cha kuchangia ndani ya familia kisichozidi mil 2 changia.
Usipofata ushauri wangu utalia kwa uchungu hapo baadae. Eti kisa anajua sasa hivi una pesa ndo mapenzi moto moto? Huyo anataka pesa hakuna cha mapenzi.
N.b aridhi ndo kitu pekee chenye thamani ambacho hakihitaji usimamizi wa mara kwa mara.
Huwajui wanaume anaweza kukudanganya ukampa hesa na akazila na mwanamke mwingine.
Shemeji yetu amekuoa?Miezi kadhaa nyuma niliondokewa na baba mzazi,,, tukaanza process za mirathi, wiki iliyopita tumepata kama mil 18 kila mtu.
Sasa huyu shemeji yenu simuelewi hapo nyuma alibadilika akawa haeleweki tangu mirathi imetoka kawa mpole mapenzi motomoto simuelewi kaamua kujirekebisha au nii hii mirathi anaiwinda.
Hapa nimetulia pesa nimeweka bank sijajua naifanyia nini.
Wewe ni Mwanamke kweliBe careful na matumizi
Ila kwakuwa ni mumeo japo mmetengana vyumba mpe 2M kiroho Safi out of 18 si hela nyingi, najua anatakua amekufanyia mengi.
Utaishi kwa amani bila kisirani chake.
Ila zitumie vizuri sana
Miezi kadhaa nyuma niliondokewa na baba mzazi,,, tukaanza process za mirathi, wiki iliyopita tumepata kama mil 18 kila mtu.
Sasa huyu shemeji yenu simuelewi hapo nyuma alibadilika akawa haeleweki tangu mirathi imetoka kawa mpole mapenzi motomoto simuelewi kaamua kujirekebisha au nii hii mirathi anaiwinda.
Hapa nimetulia pesa nimeweka bank sijajua naifanyia nini.