Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Jifunze kujikuna hadi pale mkono wako unapofika. Usiishi kwa kushindana wala kujilinganisha na watu wengine. Mungu kampa kila mtu kiwango cha riziki yake kwa jinsi apendavyo yeye. Fanya kazi kwa bidii, huku ukimwomba Mungu akuongoze katika utafutaji wako.
 
Utakufa bila kuipata hiyo pesa! Ridhika na utakachokuwa nacho kujilinganisha na watu mkuu utakufa kwa msongo wa mawazo! Mwenzio wala hakuhangaika hivyo kuipata hiyo hela! Shule hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…