Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Kwa wale wasiofahamu...

Msibani pia ni mahala pa kusoshalaizi hasa kwa ambao wanatafuta connection sababu hakuna mualiko wala kuulizwa umekuja kumfata nani.
Wadada wanaweza pata wenza, wakaka wanaweza pata wake/wachumba.

Zingatia kwenda ukiwa nadhifu na usipitilize muonekano, keep it simple and thank me later πŸ˜‰.
 
Hapo wakina mwigulu and the likes vichwa vinazidi kuwaka moto namna gani wapige pesa wawe zaidi ya hapo.
Mzee wa Esther Luxury ni billionaire mzito sana kwa sasa. Hawezi kuwaza kajumba ka chini kama hako. Yule atajenga hata Mansion akitaka. Migao ya BOT sio ya kitoto nikimkadiria jamaa hakosi 100B kwenye hifadhi zake.

Watu wanapiga mishindo unasukumiwa billions utafananisha na huyo jamaa ambaye hata 10 Billions huenda hajafikisha katika hussle zake zote.
 
Safi sana minimalist mwenzangu
 
Ubaltazsarism as Baltazsarist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…