Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Yaani Mungu atusaidie tu waja wake.....maana...amekufa ameacha, kajenga uswahilini, kiwanja cha kupewa, kaiba.....
 
Wewe haujui kuwa huko kwa wazungu ukistaafu na kuzeeka hilo jumba litakushinda kulipia kodi, utalipangisha, utaenda kuishi nyumba za wazee kwa kuwa watoto na wajukuu wanahangaika kivyao hawana muda na wewe. Tushukuru huku kwetu angalau kwa sasa familia bado zinatunza wazee. ILA TUNAELEKEA HUKO.
 
Ila wewe Mungu alikupa furaha na amani ya moyo.Kwa hiyo mshukuru Mungu.Haya mahekulu uyaone hivyo hivyo tuu. By the way utaishi ndani ya miaka sabini au au isiyozidi themanini
 
Mkuu,umesahau na ukubwa wa kipande cha aridhi kwa ajili ya kaburi.
 
L
Let alone pesa za wizi, mali na rasilimali za watu maskini walipa kpdi.
 
Mapesa yoyote ya kifisadi lazima ufanye mavitu ya ajabu.
Manyumba makubwa yanakuja kuwa hayana maana watoto wako wanapokuwa wakubwa na kuanza kujitegemea.
Kuna familia nazijua, zilikuwa zinaishi kama huyo Mafuru. Watoto walipokuwa wakubwa wamebaki wenyewe na jumba kuuubwaaa.
We mtu unajenga jumba na rotion 1 au mbili una watoto wa3!!!!!
Ila endeleeni kutafutaa pesa.
 
Mwisho wa siku Analalia mchanga.
Fanya ibada ukapate jumba la kifahari peponi.

Katika Surah Az-Zumar (39:20), Qurani inasema:

"Lakini wale wanaomcha Mola wao wataingia kwenye vyumba vya juu (peponi), chini yake mito itiririkayo, wakidumu humo milele..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…