Baada ya kushindwa kumteka Deo Bonge mchana, watekaji walirudi kumtafuta tena usiku

Deo Mungu akulinde kaka Soma Zab 109 mara 3 kwa siku 21 mpakq waliowatuma watasambaratika kwa siku saba naona wanagongwq na gari .Save hii post

Albadiri hiyo.
Tena akiwa amefunga bila kula inaitika haraka sana.
 
Jamaa inabd akodi pistol , awawashie moto tuu 🔥
 
Ccm regime mad dogs, thugs, at their best, yaani kama hawa ndio TISS wetu, wanashindwa kuteka raia wa kawaida, sasa wataweza kumteka jasusi aliyebobea ndani ya nchi nyingine?
Rejea wale waliotumwa kumteka zakaria, wakaishia kula shaba
 
Jamaa kwa ule urefu na zile nguvu angezihamishia kwa kile kijamaa kilichokosa lishe kile cheupe, angekiua, wanaume watatu wakazidiwa na jamaa mmoja, kumbe hawa watekaji ni wachovu tu...
 
Jinsi mnavyozidi kusema uovu huu ,Ni siku ya pili nina munkari Kali ya mazoezi na kula ili niwe na mwili mkubwa ila mbio niwe nazo na ngumi mkononi isikome ili wakitokea ni kuwatembezea kichapo wakinizidi basi ni mbio tu 🏃
 
Kumbe bado wamedhamiria kama walivyosema tutakurudia, wanajiamini sana.
Yani dawa ilikuwa ni wananchi wakati ule wapige gari mawe walichome moto nao wapigwe wachomwe moto. Kuanzia siku hiyo matukio ya kuwateka watu hadharani yangekoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…