Baada ya kustaafu katelekezwa na mke na watoto wake. Anaugua ugonjwa wa akili kwa sasa

Mzee aende ustawi wajamii akamsemee mkewe. Wanaume huwa hatusemi maovu ya wanawake ila wao huwa wanatuchafua sana ndio maana sisi tunaonekana wabaya wao malaika.

Na sisi miaka hii tumeamka kitofauti sana tunawaanika maovu yao vizuri tu hadharani. Lazima jamii ijue wanawake wamewekeza zaidi katika maisha yao binafsi kuliko ustawi wa mwanaume wake na familia kwa ujumla.
 
[emoji28][emoji28]jipambanie watoto sio mtaji , wasukuma wajanja sana mtu anakaribia kustaafu labda ana miaka 55 basi anazaa tena watoto hawa atakaa nao mpaka anakufa.


Ukizaa mapema jiandae ukifika miaka ya kustaafu washapata maisha yao wanaondoka.
Hii mbinu nzuri sana. Mnakuwa mnategemeana na madogo na mwanamke hawezi leta kelele tena. Ndio maana huwa wanatulazimisha kuzaa nao mapema hawa watu ili muda tunachoka watoto wawe wamekua na wanajitegemea.
 
Huyo nazichukua na hatanifanya lolote. Na nitamwambia kabisa, akiwasha moto namwambia anilipe kila senti niliyowahi toa kwake na mimi nimlipe zake tumalizane.
 
Unaongelea mambo ya ndani usiyoyajua
Wanaume kuna umri mkiwa na nguvu huwa mna entertain michepuko na marafiki , mkishaishiwa nguvu mnajitilisha huruma kwa wake zenu.
Kanuni ni moja mwanamke anasamehe ila huwa hasahau kamwe.
Hata nakataa, hizo theory zenu za uchwara kuwa mwanaume is guilty until proven innocent na mwanamke ni innocent until proven guilty ni double standard kinyama. Nakwambia angekuwa mwanamke kafanyiwa hivyo usingeanza hivyo ungeanza na kumuonea huruma mwanamke ingawa wengi wanakimbia familia zao katikati na kurudi baadae kwakigezo cha ndoa au watoto. Nanajua hiyo trend huijui maana inawatia doa wanawake. Tuishi kwenye logical reasoning humuhumu hizo assumptions na logical fallacy zenu mnazopenda kuzitaja ili kujitetea nimeamini mwanamke hata alale na shetani wanawake wenzake watamtetea maana accountability for their actions is zero. Nahuamini kuwa jamii lazima imuonee huruma. Sisi kazi yetu ni kucheki tu, ila changes are coming slowly.
 
basi kama na mawazo ya kimasikini basi we utakuwa na mawazo yenye harufu ya matako matako , nauliza umesoma post ya mdau ukaielewa? usikurupike tu na stres zako za kulala njaa.kwa akili yako mke wako ni ndugu yako? .una uelewa mdogo sana
 
 
mwanamke sio ndugu,tunakufa mapema kwasababu maadui zetu tunawanunua kwa pesa zetu wenyewe,tunawafuga mpaka uzee wao wote,baada ya watoto kukua wanatugeuka wanaungana na watoto wao kututoa kwenye ramani.ndoivo
 
Hii Mimi nilikuwa tofauti
Ndio maana mzee wangu alinielewa
Mama akawa ananiona kama kijipu uchungu.
Ila wako very trick usipokuwa na misingi
Utamuacha mzee wako
Kabisa mkuu.

Yaani wa mama wanatetewa sana hata kwenye mabaya yao.
 
Hii mbinu nzuri sana. Mnakuwa mnategemeana na madogo na mwanamke hawezi leta kelele tena. Ndio maana huwa wanatulazimisha kuzaa nao mapema hawa watu ili muda tunachoka watoto wawe wamekua na wanajitegemea.
Ukizaa mapema jiandae hakikisha ukifika miaka 45 mpaka 50 uzae mtoto wa mwisho.
 
Zime ua wazee wengi hizo pesa
 
Sasa Mkuu unajitengea Alfu mwishoe anaenda kuomba talaka kile ulichonachwa kinakwapuliwa chote hapo itakuaje 😢
Mkuu, Hili fungu lako unatakiwa ulifiche kiasi kwamba hata wife, watoto au wazazi wasifahamu.

Yani ni wewe tu.
 
Mkuu,

All women are devils only your mother might be good to you, But she is still a devil to your father.

Wanawake wanataka waonekane wema hata kwenye ubaya.
 
Hiyo siyo kataa ndoa tu, tusizae kabisa, sababu huyo mzee shahawa zake mwenyewe zimemdhuru... Watoto wamemtenda dingi, watoto tunawapata kwenye ndoa ama bila ya ndoa.

iwe ni kampeni ya
KATAA KUKOJOLEA NDANI.
 
Amekosea sana
 
Tatizo ni mama yao!! Je unajua mama yao huwa anawaambia nini watoto? Mwombe Mungu yasikukute!! Wanawake wengine ni balaa!!
Acha uongo,kwani watoto walikuwa hawaoni jinsi baba yao anavyowajibika juu Yao?watoto wanaona baba ananunua chakula,analipa ada wakiumwa anatoa hela ya tiba nk hapo mama atawadanganya nini eti baba yenu alikuwa mbaya?huyo baba kuna sehemu alizingua
 
Inasikitisha sana na ukizingatia mzee mwenyewe ndo umemuweka kwenye profile picture yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…