Baada ya kustaafu katelekezwa na mke na watoto wake. Anaugua ugonjwa wa akili kwa sasa

WORD
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] dah umechafukwa na roho Mkuu hautaki utani kabisa wakuja kunyanyasika uzeeni inaonekana.
 
Kwa sasa mzee karudi kwao lakini akili yake haiko sawa kaacha mali zote anaishi kijijini kwao.
Hii ni option ya mwisho ya kila Mwanaume ambae hataki kufanya maafa kwa Mwanamke anaemchukiza na kumtia machungu maana akikaa nae kifuatacho ni ama zako ama zangu, utalishwa sumu ya kukuua kidogo kidogo hata ukienda hospital ugonjwa hauonekani Ila ndani sumu inakuua siku baada ya siku
 
😆😆😆😆
 
Atatafuna vipi Sheria zinaelekeza mtu kuuza Mali lazima mke watoto na baba waridhie.
Kwani anashundwa Nini kuanza kutafuna hayo majumba aliyojenga?

Kwa mtazami wangu huyo Mzee kastaaafu Hana kitu na pension kahonga. Full sto
 
Kwenye hii simulizi kuna palipotajwa shoga au msagaji au umeweka tangazo la biashara KIDOGO commercial break?
Sentensi ya mwisho kwenye bandiko ni saini ya mashoga na wasagaji wa hapa JF.

Vipi, mbona umekuja juu, wewe papai?
 
Imepenya kwakweli
 
Kinachonishangaza humu wanaume wanalalamika kuwa uzeeni wanatengwa na mke pamoja na watoto.
Swali, je na ninyi wanaume wa humu mmewatenga baba zenu na ku slide upande wa mama?
 
Hao wazee wakistaafu pension yote wanatumbua na malaya wanatelekeza familia zao.

Hela zikiisha wanatiatia huruma.
 
Hahaaaaa, hiyo ndio mission yangu. Sasa nina miaka 40 nina nguvu ya kufanya kazi na kuhangaikia familia ila kila siku nawaza kuna siku nitaishiqa nguvu, je hawa watanisaidia au nitajisaidiaje? Nimeshaandaa akili yangu kuishi kipweke huko uzeeni japo nitavuta mtoto mbichi wa kunisofezea uzee wangu. Sasa natafuta pesa na kufanya kazi kwa nguvu kwani najua uzee upo na mateso ya uzeeni yapo. Sawa mke wangu hana shida ila ni binadamu, najiandaa kwa lolote lile.
 
Shauri hili haliwezi kukamilika bila kisikiliza upande wa pili kinyume chake itakuwa umbea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…