Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Me naona ww una akili za kitoto kweli kweli kwa hiyo baba ako ndo kichwa na moyo wako.
Ni bora huyo dada asiolewe na ww kwa sabb hautakua na maamuzi kweny ndoa yako baba ako ndo atakua kama kaoa ww na mkeo.
Usiwe na akili kama za baba ako moyo wako kwanza wengine badae
 
Sex sio tatizo mkuu. Shida inakuja aliziba macho na masikio yote. So alimpenda sana kwahyo mengine hakuyazingatia. Ye aliwaza amuweke ndani tu.
 
Achana nae chap mkuu mimi nilizaa nae na mtto nikatoa na mahali mamilioni ya pesa baada ya kujua ana mtoto mwigine wa miaka Saba zoezi la ndoa likasitishwa na mtoto wangu nikamchukua akakae na mama yangu
Kuna single mother wengine hawajielewi kabisa. Kuna mtoto wa kaka alioa single mother bila kujua maana hakuambiwa. Amekuja kujua baada ya yule mwanamke kuanza vitibwi, kumbe karudiana na baba mtoto wake. Sasa hivi ndoa imevunjika kaenda kuishi na baba watoto wake wa kwanza
 
Chukua Ushauri huu. Ata wewe kama ulishawaht*mba nje kavu utajuaje kama uliacha Mtoto kisha akapewa MTU mwingine bila kujua.
 
Uamuzi ni wako kama utamsamehe na kuendelea nae au utamsamehe na kumwacha. Pia wazazi wana hatia kwa upande mmoja. Siku wanapokea mahari walistahili kumwambia mshenga hayo. Hata wao wanahusika kukuficha ukweli maana wao wanaujua.
 
Single mother no single mother tu ila kama alificha detail muhimu hivo kisa anataka ndoa basi kamati inabidi iundwe.USHAURI WANGU Mweleze ukweli kwamba upendo umekata na umtake yeye ndio ajikatae.YAANI YEYE AKATAE NDOA ATAFAUTE SABABU YOYOTE ILE ASEME HATAKI KUWA NA WEWE.Akilazimisha ahirishe ndoa kwa miaka mitatu+ kama hamuishi wote usianze kuishi naye.Ikitokea amaekusubiri kwa 3+ years na wewe hujatokea kumpenda mwanamke mwingine basi OA tu ila hakikisha unampenda na sio kumhurumia.Kama humpendi move on ila usifanye drama yoyote kwa sababu tu ya yeye kuwa na mtoto kwani hujui situation yake wala huna details za kutosha kumhusu mtoto.
 
Duuh ninyi si ndio mnasemaga maisha bila uongo hayaendi sasa mbona mkuki kwa nguruwe kwa binadamu umekuwa mchungu tena
Kwahyo mnataka kushindana na sisi

Halafu uongo gani wa kuficha mtoto cha kustaajabisha amefanya ni mwanamke mwenye uchungu aliyezaa hayo tushazoea wanafanya wanaume maana hawana uchungu na malezi wengi wao
 
Bado huo ni uchumba tu kwa vile umegundua hilo ni afadhali kuachana naye ila tumia ustarabu maana ni afadhali kuachana kwenye uchumba kuliko ukifunga naye ndoa huwa haiwezekani kuachana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…