Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Kama ushauri wa kikatili vile LAKINI..

Jibu lipo hapo kwenye lkn

Hapa utapewa ushauri na wengi wa hali tofauti tofauti.
Nikiwa mimi... sipendi kuishi alone ntaomba Mungu nimpate mtu atakaye nikubali pamoja na watoto wangu...maana yake ni kuwa hapa ntakushauri umuoe tu haina tatizo

Nikiwa mama wa binti mwenye mtoto alozalia nyumbani ...hapa ntakushauri umuoe tu hana shida

Nikiwa mama wa mtoto mkubwa anaetaka kuoa ntakuambia ACHANA NA HIYO BALAA utateseka sana mbeleni mwanzoni mambo huwa mazuri ila siku uchumi ukiyumba ...ukiumwa muda zaidi...pakiwa na ugomvi wa hapa na pale huyo baba mtoto ndo anakusaidia jukumu lako KUU....ntakukumbisha kuwa kwenye mahusiano watu wakishaachana na wengine kuchukiana lkn kila mmoja akipata mwenza mwingine chuki inapunguaga na wengine kuisha kabisa inabaki kutamaniana (sembuse kwa waliozaa!!!!)

Nikiwa kama dada ako niliezalia home ntakwambia oa tu haina tabu.....

Zaidi

Zaidi

So ushauri inategemea....

Kuna waliokanyaga mavi wanataka nawe ukanyage
 
Nakuomba umwache utakuja kunishukuru
 
Hakuna mke hapo.
Utakutana na mengi zaidi.
Angesema mapema ungejipanga.
Piga chini Anza upya.
Mahari kitu gani buana!?
 
Neno linasema mke mwema anatoka kwa Bwana soooo....ni wewe kuamua. Ushauri mkubwa ninaoweza kukupa seek the wisdom and council of GOD. If she is the one utaifeel tu na utatambua huyu ndie. Hayo ni madhaifu ya kibinadamu na kama amejutia then unaweza msamehe.but first...tafuta kujua kama ndie.
 
Kati ya wanawake 100 waliozaa kabla ya kuolewa ni chini ya 5 wanaachana kabisa na wapenzi wao waliowazalisha.
Nao itategemea huko aliko anapata Nini.
Akipigwa stress tu anarudi.
In short , usioe mke wa mtu.
Yaani hata aliyebikiriwa na mtu mwingine hatukupaswa kuoa.
Sembuse aliyezalishwa;!
Damu nzito Sana. Mkishaunganisha DNA zenu kutoa mtu mwingine hamuwezi kuachana kirahisi
 
Ninavyosema niko nae ni mwaka sasa maana yake namkula kila nitakavyo
Me wake yeye wangu

Huwezi gundua mbususu iliyozaa na isiyozaa kwa namna unayosemea
Ungetaka kujua kama ameshazaa ungejua sema wewe hukutaka kuja.
 
Labda hawe single mother mzungu [emoji1787][emoji28][emoji28]
 
Sawa singo maza
 
Uongo uoongooo 😄 huuu ni uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…