Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

Yeah wengi wao maisha magumu sana.
 
Labda kule kwao chance ya kufanikiwa hamna. Wanakuja hoehae wanalima na kutunza nyumba mume akisomesha watoto wanafanikiwa uzeeni. Nadhani huwa wanafanikiwa kuvunja generation poverty
 
Labda kule kwao chance ya kufanikiwa hamna. Wanakuja hoehae wanalima na kutunza nyumba mume akisomesha watoto wanafanikiwa uzeeni. Nadhani huwa wanafanikiwa kuvunja generation poverty
Weee hicho kijiji mwanamke akiolewa ndiye anatunza nyumba na wakwe kwa kulima na kulimia watu mume yeye zake zake, au za kunywea pombe.
Yani niliwaonea huruma kwa kweli
 
Labda kule kwao chance ya kufanikiwa hamna. Wanakuja hoehae wanalima na kutunza nyumba mume akisomesha watoto wanafanikiwa uzeeni. Nadhani huwa wanafanikiwa kuvunja generation poverty
Hili ulilo ongea linaweza kuwa sahihi.
 
Kweli kabisa

Nimemkumbuka demu mmoja mrembo mnoooo aliitwa Queen aliolewa na Ofisa mmoja wa serikali mlevi kupindukia

Sikuamini yule mwanamke aliwezaje kuishi na kumvumilia yule mwamba, kajamaa kenyewe kafupi halaf kalevi, chee!
 
Bby wangu njoo usome hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Picha ni chache.
Wameumbika?
Ushakutana na mhangaza aliyekulia mjini kama dar?
Ndio mkuu mchepuko wa kwanza wa mzee machache na wa pili mke wake ambae anataka mali zote za mzee,waangaza ni jamii ya watusi.
 
Hata wafanyakazi wa ndani ukipata muhangaza huwa wanadumu sana.
Ni wazuri kwakweli

Duh! Acha usinikumbushe kuhusu Domina watoto 3 kawalea hadi leo hii wote wapo secondary
Ni kweli hilo kabila wametulia na uvumilivu ndo kwao hawana ujuaji na wakiolewa wameolewa Kabanga ndo kwao Domina kila akitoka likizo kwao anakuja na parachichi kubwa na karanga za nyakahula sijui toleo gani lile nalo kubwa balaa [emoji122][emoji122]
 
Ngoja na sisi tukajionee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…