Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

Hakuna mkamilifu🤣🤣🤣
Ni kweli na sijasema kwa ubaya nilikuwa tu najaribu kuwa subjective. Na asilimia zote hizo nimewapa sababu nimesoma advance na mmoja anaitwa Dorika, she was very calm and collected, Msafi, mchapakazi sana, alikuwa anabehave sana hadi akapewa udada mkuu, alikuwa ni mlezi mzuri utadhani ni mtu mzima kumbe ni mdada mwenzetu.

Mwingine alikuwa mdada wa kazi wa rafiki yangu, alivyotakiwa kurudi kwao rafiki angu nusu alie.
 
Mkuu naomba nikuulize, hivi ni kwa nini Wahaya mnawadharau sana hao Wahangaza mnawaitaga Warundi na manamba wa mashamba yenu, kiasi kwamba Muhaya akikuita 'mrundi' inasemekana ni amekudharau sana na ni tusi kubwa sana.
Hakuna kitu kama hiko....hakuna anayemdharau mhangaza kama kabila....labda kama wao wanajefeel inferior mbele ya wahaya. Wahaya wana tabia za kujikubali sana...so ukiwa mnyonge utajiona inferior

Mtu yeyote hata mhaya asiye na kitu atadharauliwa tu na mtu yeyote awe au asiwe mhaya...
 
Ahsante kwa ufafanuzi. Ila mimi niliambiwaga na watu wa Muleba huko, kwamba waga iko hivyo.
 
Mkuu Nafaka
Huko Libwera Bila Shaka Ni Kyerwa Kama Unakwenda Mlongo
Panaitwa lubwera kulikuwaga na kambi ya wakimbizi kuna shule 3 maarufu kido semimary st bernard na kyerwa sec
 
Hivi kwa mfano mzazi wako kama hakupata nafasi ya kusoma lakini akakusomesha wewe pia utamuweka kwenye kundi la wajinga?

Kwanza nikupongeze kwa kutaka kufahamu, well tambua ujinga sio tusi ni kivumishi/sifa ya kutokuwa na ufahamu wa mambo/jambo fulani…. Ujinga unaweza kuondolewa, kusoma hakuondoi ujinga wote ila kunaupunguza kwa haraka.

Taifa liliona tuna jamii ya wajinga, ikimaanisha kile kiwango cha uelewa wa ku master maisha ya kawaida ya mwanadamu..

Likatangaza ujinga kama adui, enzi za wazazi wangu wanazaliwa hivyo walitokea kwenye hilo na wakajipambania kuupunguza kwa kiwango kizuri.

Nadhani nimejibu swali.

Shukrani, Tyrone KG
 
Back
Top Bottom