- Thread starter
- #141
Hapana,Huyo Mama k kawachambua vizuriKumbe sio watu wa filter na scrub
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana,Huyo Mama k kawachambua vizuriKumbe sio watu wa filter na scrub
YeahHapana,Huyo Mama k kawachambua vizuri
Mkuu Alex Prosper, huu uzi upo nao bampa to bampa, unataka ukaopoe jiko huko nini[emoji16]Uliishi maeneo gani
For really black girls is beauty lakini wanaenda wanapotea wanabaki weupeAisee wewe unawafahamu vizuri.
Mwanamke black beauty ni anapendeza sana.
Huo weusi wao wa kung'aa na kuteleza ndiyo hatari....Yani Wana ule weusi wa kung'aa na kuteleza......visura vizuri, wasafi.....!
[emoji23] unachimba kweli kweli, hutaki kuja kupigwa.Sura nyembamba ?
Ndio takupa mrejesho miaka hizo mungu akijaria napenda mwanamke hao wa kibantuMkuu Alex Prosper, huu uzi upo nao bampa to bampa, unataka ukaopoe jiko huko nini[emoji16]
Kule black beauty ndiyo wengi sana.For really black girls is beauty lakini wanaenda wanapotea wanabaki weupe
Sawa mkuu, kila la kheri.Ndio takupa mrejesho miaka hizo mungu akijaria napenda mwanamke hao wa kibantu
Ndio kama una picha nitumie PM[emoji23] unachimba kweli kweli, hutaki kuja kupigwa.
Huu uzi takuwa naufatilia sanaKule black beauty ndiyo wengi sana.
Ni kweli na sijasema kwa ubaya nilikuwa tu najaribu kuwa subjective. Na asilimia zote hizo nimewapa sababu nimesoma advance na mmoja anaitwa Dorika, she was very calm and collected, Msafi, mchapakazi sana, alikuwa anabehave sana hadi akapewa udada mkuu, alikuwa ni mlezi mzuri utadhani ni mtu mzima kumbe ni mdada mwenzetu.Hakuna mkamilifu🤣🤣🤣
Hakuna kitu kama hiko....hakuna anayemdharau mhangaza kama kabila....labda kama wao wanajefeel inferior mbele ya wahaya. Wahaya wana tabia za kujikubali sana...so ukiwa mnyonge utajiona inferiorMkuu naomba nikuulize, hivi ni kwa nini Wahaya mnawadharau sana hao Wahangaza mnawaitaga Warundi na manamba wa mashamba yenu, kiasi kwamba Muhaya akikuita 'mrundi' inasemekana ni amekudharau sana na ni tusi kubwa sana.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ndio kama una picha nitumie PM
Mm sibadilishwi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tupewe muongozo kabla wale jamaa wa "kataa ndoa" hawajakuja kutubadili mawazo.
Ahsante kwa ufafanuzi. Ila mimi niliambiwaga na watu wa Muleba huko, kwamba waga iko hivyo.Hakuna kitu kama hiko....hakuna anayemdharau mhangaza kama kabila....labda kama wao wanajefeel inferior mbele ya wahaya. Wahaya wana tabia za kujikubali sana...so ukiwa mnyonge utajiona inferior
Mtu yeyote hata mhaya asiye na kitu atadharauliwa tu na mtu yeyote awe au asiwe mhaya...
Panaitwa lubwera kulikuwaga na kambi ya wakimbizi kuna shule 3 maarufu kido semimary st bernard na kyerwa secMkuu Nafaka
Huko Libwera Bila Shaka Ni Kyerwa Kama Unakwenda Mlongo
Hivi kwa mfano mzazi wako kama hakupata nafasi ya kusoma lakini akakusomesha wewe pia utamuweka kwenye kundi la wajinga?Ujinga ni kukosa elimu juh ya jambo/ mambo, Upumbavu ni kukosa weredi, hao wenye elimu bila ya weredi ni wapumbavu
Hivi kwa mfano mzazi wako kama hakupata nafasi ya kusoma lakini akakusomesha wewe pia utamuweka kwenye kundi la wajinga?