Baada ya kutoa mabandiko kuhusu hali ya Corona nchini, Kaimu Balozi wa Marekani aitwa Serikali kutoa ufafanuzi

Wacha kujilinganisha na USA wewe gamba
Unajua kwamba kwao marekani walificha taarifa pia...
Na baadae ikageuka Trump akalalamika kuwa namba zinaongezwa za uwongo ili kumuharibia kwenye uchaguzi.
Usiamini kwa muzungu ni kwa malaika mkuu.
Kila nchi imekuwa na matatizo ya data.
 
Wacha awanyooshe sasa
 
Ufanane na wapumbavu mkuu!
Hiyo kumuita tayari ni diplomasia nzuri sana hiyo.
Selikali hawajaridhika ndio maana wamemuita ili kumueleza malalamiko yao! Sasa ulitaka wafanyeje ili ujue diplomasia imezingatiwa?
 
Yetu macho na masikio lakini mbona mwisho wa taarifa naona kuna pongezi
 


Nnaona wewe ndiye uliyekaa kizembezembe maana hata maana ya "balozi" huijuwi.
 
Reactions: Ole
Nimesoma mara mbili mbili huo mkeka hapo juu nilichokiona cha muhimu ni kwamba kaitwa kwa ajili ya kupeleka kilio cah serikali kwamba chonde cho
Kutoa ufafnuzi au kuliliwa na kupigiwa magoti chinde chonde tuache tujifie...uzuir ni kwamba wataendelea kuandika
 
Je huyo naibu waziri wa USA alijibu nini? Naona shukrani.
 
Si ndo walisema kim jong un amefariki? Kweli CIA wanajua kila kitu
 
Toeni data za COVID19 , dunia nzima inafanya hivyo kwa nini sisi???

Waziri mkuu alitoa data Dodoma wakati wa sikuku ya Idd wewe ulikuwa wapi? Hatuna sababu ya kuiga dunia sisi ni nchi huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…