pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Safi sana. KDF wakimaliza kuvuna mahindi tutawapa kazi ya kuvamia maduka ya M-Pesa. [emoji38]Wazo nzuri sana maana KDF wanaliwa tigo kule somalia kila kuchao. Kazi ya kuvuna mahindi ndio inawafaa kabisa
umejuaje tulicho pata mwaka huu wakati mahesabu hayajafungwa!? some times bora upige kimya tuukipiga gharama zote unaona bora serikali ingeendelea kukusanya tozo zinazoihusu.........
technically hapa serikali imepoteza hela nyingi......
ukitaka kujua hilo, tazama mapato ya serikali kutokana na korosho last year..... utagundua tumefeli
reference ni hio bei wanayotaka kuuza!.....umejuaje tulicho pata mwaka huu wakati mahesabu hayajafungwa!? some times bora upige kimya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 One of the Indian collectors based on Kenya, sioni hata ni kipi wanafurahia hawa watu, wakati it is going all the way to Asia for further processing.KAMPUNI YENYEWE INAMILIKIWA NA WAHINDI SIJUI NYANGAU YANASHABIKIA NINI
Hivi mkiulizwa kinachowafanya wakenya mfurahie hii deal ni nini? Mtafanikiwa kupata jibu kweli lenye mantiki? Au ni kwa sababu umetajwa company kutoka Kenya?Nani atawaokoa wakulima wa Tanzania? Thamani ya faida ya jasho lao iliamuliwa na mzee wa mikwara, hivi leo wengi wao wangekuwa wameingiza Tzshs 3,800(India) na 3,500(Kenya) badala ya 3,300(GoT) kwa kila tani. Tena bila ya kuwaingiza wavunja matofali kwenye hasara ya kusafirisha, kubangua na kutunisha misuli bure.
Hapana, sanasana ni kwasababu tumeona jinsi kauli zenu za kibabe zilivoangukia pua, kwa mara nyingine tena. Teh teh! [emoji23]Hivi mkiulizwa kinachowafanya wakenya mfurahie hii deal ni nini? Mtafanikiwa kupata jibu kweli lenye mantiki? Au ni kwa sababu umetajwa company kutoka Kenya?
Kenya hajawahi hata siku moja kuprocess korosho na kuuza nje kupita Tanzania wala haitakaa itokee, hiyo ni company tu inayojiuhusisha na uchuuzi wa mazao haiongezi thamani hapo KenyaUkisikia biashara kichaa ndio hii, Kenya ni producer wa Korosho kama sisi, na Korosho zake sio quality kama za kwetu, kitendo cha kuongeza tani 100,000 alizonunua kwetu kitaifanya Kenya itupite hata sisi katika uzalishaji kwani itaonesha ka export zaidi kuliko sisi. Kenya na yeye anataka korosho ili akauze nje kwa faida kubwa hasa bara la marekani na Ulaya ambako ndiko kwenye soko kubwa, ukiachia India ambao wao nao wananunua kwa ajili ya Export ya Cashew Kernel.
Kwa kweli bado sijaona mantiki ya sisi kuwauzia kenya halafu wao wapate faida kuliko sisi. Hapa tumefanya biashara kichaa kabisa.
WAZIRI WA SHERIA ANAUZA KOROSHO, WAKATI WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA YUPO, BODI YA MAZAO IPO, KUNA ELEMENT YA KUTOAMINIANA AU? HAMUONI TATIZO HAPO??????
Kauli ipi ya kibabe iliyoangukia pua ndugu wakati mkulima amefaidika?Hapana, sanasana ni kwasababu tumeona jinsi kauli zenu za kibabe zilivoangukia pua, kwa mara nyingine tena. Teh teh! [emoji23]
Mmmh??? [emoji15] Okeei. 😎Kauli ipi ya kibabe iliyoangukia pua ndugu wakati mkulima amefaidika?
Offer iliyotolewa latest ni 1700 per kilogram sasa serikali imempa mkulima 3300 na yenyewe imeuza zaidi ya 4000 unaita huku ndio kuangukia pua?
Mkulima amefaidika
Na serikali imefaidika
Nani atawaokoa wakulima wa Tanzania? Thamani ya faida ya jasho lao iliamuliwa na mzee wa mikwara, hivi leo wengi wao wangekuwa wameingiza Tzshs 3,800(India) na 3,500(Kenya) badala ya 3,300(GoT) kwa kila tani. Tena bila ya kuwaingiza wavunja matofali kwenye hasara ya kusafirisha, kubangua na kutunisha misuli bure.
Wewe hapo juu umeweka ushahidi wa bei ya manunuzi??Lete ushahidi acha kuropoka, hili ni tatizo lenu wakenya kujifanya mnajua kila kitu, wewe unadhani ni kitu gani kilisababisha Magufuli aingilie kati?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka usafiri, gharama za bohari , ubebaji ndiyo utajua kwa nini kichwa kinafanana na makendeThe big question should be how much did the Government of Tanzania buy from the farmers and how much are they selling to the Company?? Any one with the facts? If there is a margin....then good job Magufuli!!! If not, it was a waste of time and energy.
Wewe unastahili kuwa mwanasiasa. Umelalia talanta.Kenya hamjali wakulima wenu kwasababu karibu wanasiasa wenu wote ni wafanyabiashara, wakulima wenu wa mahindi wamelalamika sana kwa kupewa bei ndogo, juzi wakulima wenu wa miwa wamelalamikia hilo hilo, hakuna wa kuwasaidia, Tanzania tunamjali sana mwananchi wa chini.
Ninyi wakenya ni vichaa sana, Magufuli angelikatalia hili kampuni lenu, mngesema ana chuki na Kenya, amelikubalia mnasema Tanzania hamna kampuni la kununua kwasababu ni LDC. Sisi tunafanya biashara na nchi yoyote ambayo itakubaliana na taratibu na sheria zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Korosho sio chakula. Hata msipotuuzia hatutakufaNakwambia izo tani laki moja ni tone baharin,korosho ziko nyingi na mmeuziwa zimeshabanguliwa, hatuwez kuziprocess zote, inabidi msiuziwe kabsa ndio labda mtakua na adabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani chakula ni nn?wewe ulisoma ukabaki kua mjingaKorosho sio chakula. Hata msipotuuzia hatutakufa