Baada ya kutunisha misuli na kauli za mikwara, hatimaye Tanzania imekubali kuachia korosho kwa kampuni ya Kenya

Baada ya kutunisha misuli na kauli za mikwara, hatimaye Tanzania imekubali kuachia korosho kwa kampuni ya Kenya

ukipiga gharama zote unaona bora serikali ingeendelea kukusanya tozo zinazoihusu.........

technically hapa serikali imepoteza hela nyingi......

ukitaka kujua hilo, tazama mapato ya serikali kutokana na korosho last year..... utagundua tumefeli
umejuaje tulicho pata mwaka huu wakati mahesabu hayajafungwa!? some times bora upige kimya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAMPUNI YENYEWE INAMILIKIWA NA WAHINDI SIJUI NYANGAU YANASHABIKIA NINI
😂😂😂 One of the Indian collectors based on Kenya, sioni hata ni kipi wanafurahia hawa watu, wakati it is going all the way to Asia for further processing.
 
Nani atawaokoa wakulima wa Tanzania? Thamani ya faida ya jasho lao iliamuliwa na mzee wa mikwara, hivi leo wengi wao wangekuwa wameingiza Tzshs 3,800(India) na 3,500(Kenya) badala ya 3,300(GoT) kwa kila tani. Tena bila ya kuwaingiza wavunja matofali kwenye hasara ya kusafirisha, kubangua na kutunisha misuli bure.
Hivi mkiulizwa kinachowafanya wakenya mfurahie hii deal ni nini? Mtafanikiwa kupata jibu kweli lenye mantiki? Au ni kwa sababu umetajwa company kutoka Kenya?
 
Hivi mkiulizwa kinachowafanya wakenya mfurahie hii deal ni nini? Mtafanikiwa kupata jibu kweli lenye mantiki? Au ni kwa sababu umetajwa company kutoka Kenya?
Hapana, sanasana ni kwasababu tumeona jinsi kauli zenu za kibabe zilivoangukia pua, kwa mara nyingine tena. Teh teh! [emoji23]
 
Ukisikia biashara kichaa ndio hii, Kenya ni producer wa Korosho kama sisi, na Korosho zake sio quality kama za kwetu, kitendo cha kuongeza tani 100,000 alizonunua kwetu kitaifanya Kenya itupite hata sisi katika uzalishaji kwani itaonesha ka export zaidi kuliko sisi. Kenya na yeye anataka korosho ili akauze nje kwa faida kubwa hasa bara la marekani na Ulaya ambako ndiko kwenye soko kubwa, ukiachia India ambao wao nao wananunua kwa ajili ya Export ya Cashew Kernel.

Kwa kweli bado sijaona mantiki ya sisi kuwauzia kenya halafu wao wapate faida kuliko sisi. Hapa tumefanya biashara kichaa kabisa.

WAZIRI WA SHERIA ANAUZA KOROSHO, WAKATI WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA YUPO, BODI YA MAZAO IPO, KUNA ELEMENT YA KUTOAMINIANA AU? HAMUONI TATIZO HAPO??????
Kenya hajawahi hata siku moja kuprocess korosho na kuuza nje kupita Tanzania wala haitakaa itokee, hiyo ni company tu inayojiuhusisha na uchuuzi wa mazao haiongezi thamani hapo Kenya

Inachofanya ni kuzipakia kwenye meli hapo Dar na kuzipeleka kwa mteja wake, awe China, Indonesia, India au wherever lakini hakuna kiwanda chochote cha kuprocess hizo tani Kenya, kwa hiyo hata sioni kitu gani kinawapagawisha wakenya wakati hawapati kitu, hata bandari yao hapati kitu, faida yao ni kwamba tu ni company iliyosajiliwa Kenya that's all
 
Hapana, sanasana ni kwasababu tumeona jinsi kauli zenu za kibabe zilivoangukia pua, kwa mara nyingine tena. Teh teh! [emoji23]
Kauli ipi ya kibabe iliyoangukia pua ndugu wakati mkulima amefaidika?

Offer iliyotolewa latest ni 1700 per kilogram sasa serikali imempa mkulima 3300 na yenyewe imeuza zaidi ya 4000 unaita huku ndio kuangukia pua?

Mkulima amefaidika
Na serikali imefaidika
 
Mmmh??? [emoji15] Okeei. 😎
 
Nani atawaokoa wakulima wa Tanzania? Thamani ya faida ya jasho lao iliamuliwa na mzee wa mikwara, hivi leo wengi wao wangekuwa wameingiza Tzshs 3,800(India) na 3,500(Kenya) badala ya 3,300(GoT) kwa kila tani. Tena bila ya kuwaingiza wavunja matofali kwenye hasara ya kusafirisha, kubangua na kutunisha misuli bure.

Unaposema "TShs 3,300 kwa kila tani" una maanisha nini ?

Una maanisha hii Tani moja ambayo ni sawa na kilo 1000 au siku hizi kuna ulingano mpya kati ya tani na kilo ? Yaani tani moja ni sawa na kilo moja ?

Ufafanuzi tafadhali ...!
 
IMG-20190131-WA0051.jpg
 
The big question should be how much did the Government of Tanzania buy from the farmers and how much are they selling to the Company?? Any one with the facts? If there is a margin....then good job Magufuli!!! If not, it was a waste of time and energy.
Weka usafiri, gharama za bohari , ubebaji ndiyo utajua kwa nini kichwa kinafanana na makende
 
Kenya hamjali wakulima wenu kwasababu karibu wanasiasa wenu wote ni wafanyabiashara, wakulima wenu wa mahindi wamelalamika sana kwa kupewa bei ndogo, juzi wakulima wenu wa miwa wamelalamikia hilo hilo, hakuna wa kuwasaidia, Tanzania tunamjali sana mwananchi wa chini.

Ninyi wakenya ni vichaa sana, Magufuli angelikatalia hili kampuni lenu, mngesema ana chuki na Kenya, amelikubalia mnasema Tanzania hamna kampuni la kununua kwasababu ni LDC. Sisi tunafanya biashara na nchi yoyote ambayo itakubaliana na taratibu na sheria zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unastahili kuwa mwanasiasa. Umelalia talanta.
 
Mnaopiga kelele za kufunga mipaka mnaweza ona umuhimu was Tanzania! Mmekataliwa kwa miezi miwili Ilam bado mnakuja. So mngeenda Ivory Coast basi!? Mawnan nao huzalisha korosho kwa wingi Africa!
 
Back
Top Bottom