Kenya hamjali wakulima wenu kwasababu karibu wanasiasa wenu wote ni wafanyabiashara, wakulima wenu wa mahindi wamelalamika sana kwa kupewa bei ndogo, juzi wakulima wenu wa miwa wamelalamikia hilo hilo, hakuna wa kuwasaidia, Tanzania tunamjali sana mwananchi wa chini.
Ninyi wakenya ni vichaa sana, Magufuli angelikatalia hili kampuni lenu, mngesema ana chuki na Kenya, amelikubalia mnasema Tanzania hamna kampuni la kununua kwasababu ni LDC. Sisi tunafanya biashara na nchi yoyote ambayo itakubaliana na taratibu na sheria zetu.
Sent using
Jamii Forums mobile app