Kwa "wenyewe"Huko 'kule' ni wapi?
Ni hatua nzuri kwa sababu tutawajua wanaotaka kwenda 'kule' na tuwapime kama watafika ama la. Kikubwa wasiguswe mboni zao tu ! Ha ha ha haaaa!"Nataka niwaambie nitatoa list mpya [ya mawaziri] karibuni. Wale ninaohisi wanaweza kwenda na mimi...nitakwenda nao. Lakini wale wote ninaohisi ndoto zao ni kule, na wanafanya kazi kwa ajili ya kule, nitawapa nafasi waende wakajitayarishe vizuri huko nje."- Rais Samia Suluhu
2025Huko 'kule' ni wapi?
"Nataka niwaambie nitatoa list mpya [ya mawaziri] karibuni. Wale ninaohisi wanaweza kwenda na mimi...nitakwenda nao. Lakini wale wote ninaohisi ndoto zao ni kule, na wanafanya kazi kwa ajili ya kule, nitawapa nafasi waende wakajitayarishe vizuri huko nje."- Rais Samia Suluhu
Kamuoa mwana wa Malkia.Ameukwaa u prince by virtue of his marriage.
Sijawahi kuwa shabiki wa Bashiru au Polepole, ila natamani hawa watu wapewe hii wizaraSijui ni pekeangu?? Natamani waziri wa Elimu atakaebadili mtaala wa Elimu ktk nchi yetu......
kwa bahati mbaya Haijawai kutokea tangu uhuru hakuna Waziri wa Elim alieitendea haki Wizara hii HAKUNA