Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Safi mama, tulikuwa tunalisubiri hili Kwa hamu, nchi hii ina watu wasiohitaji huruma, hawabebeki...Kama mbwai mbwai tu, watoe warudi kitaa waone Kama wataendelea kuota...huku huo usingizi tu hakuna.
Ujjnga mwingien anaweza kuwatoa wachapalaza akawarudisha wahuni kama nape na jamii ya makamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Majaliwa Majaliwa apishe wengine habari hio, atengeneze baraza lake aache kulalamika, akiacha kulalamika tutamsifia sana kwa maana hatuna chuki nae tunataka ajitambue ajue nini maana ya kuwa Rais, awe Mkomavu wa fikra na awe na maarifa na ufahamu wa mambo wa kutosha, asimamie makusanyo ya kodi awe makini kwenye matumizi, asiwe mwizi, awe na huruma kwa wananchi habari ya gharama za kuunganisha umeme? Samia apambane nchi hii Ikulu inaviatu vya jinsia ya Kiume hamna kisingizio
Aise nmependa huu ujumbe kula bia moja
 
Nawaombea Doto biteko na Adolf mkenda lisiwapitie hili panga la bi mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Natamani Elimu wapewe Bashiru na Polepole, wana udhaifu wao fulani, but uzalendo wao kwa nchi ni wa kupigia mfano
 
Back
Top Bottom