mkamanga original
JF-Expert Member
- Jan 21, 2015
- 637
- 663
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19
Amesema "Nataka niwaambie nitatoa list mpya [ya mawaziri] karibuni. Wale ninaohisi wanaweza kwenda na mimi...nitakwenda nao. Lakini wale wote ninaohisi ndoto zao ni kule, na wanafanya kazi kwa ajili ya kule, nitawapa nafasi waende wakajitayarishe vizuri huko nje."
Vipi Kambona na Elinawinga?Sijui ni pekeangu?? Natamani waziri wa Elimu atakaebadili mtaala wa Elimu ktk nchi yetu......
kwa bahati mbaya Haijawai kutokea tangu uhuru hakuna Waziri wa Elim alieitendea haki Wizara hii HAKUNA
Kumrudisha Nape is a NO NO kwani she will be playing into the hands of her enemies. Kutengeneza CABINET under these circumstances is not easy na hapo ndipo busara za watu kama Mzee Mangulla zitamsaidia kwani anawajua na hana makundi!!Ujjnga mwingien anaweza kuwatoa wachapalaza akawarudisha wahuni kama nape na jamii ya makamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabudi sidhan maan yule mzee anajua kujitengenezea mazingira ya kuaminika sana
Bunge limkatae waziri mkuu Mpya.
Tamisemi yupo ummy mwalimu huyu yupo utumishiHuyu mwamba Yuko vizuri,popote atakapowekwa Nampa tick...halafu Hakuna wizara ngumu Kama Tamisemi na anaitendea haki.
Kwani wamefanya nini kikubwaNawaombea Doto biteko na Adolf mkenda lisiwapitie hili panga la bi mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
No 1Doto Biteko
Bashungwa
Waitara
Mkenda
Mkumbo
Kabudi
Salini sana ama nendeni makaburini
Ni 2025Huko 'kule' ni wapi?
Aisee . . . hii sasa itakuwa kwishnei. Watu wa team moja pekee ndo watambe tu ?Namuona Nape mzee wa goli la mkono kwa mbaaaali kwenye ofisi ya wizara flani hivi.
Tutaona timu mpya itafananajeπππππππππ°π°π°π°π°πππππππππ
Pangua panga upya Mama, tuko pamoja
Ndo watakwenda sawa ujui chama kimerudi kwa wenyeweAisee . . . hii sasa itakuwa kwishnei. Watu wa team moja pekee ndo watambe tu ?
Kutakuwa na kazi kweli ? Au ndio itakuwa mwanzo wa anguko na ukosefu wa ubunifu ?
Nani wa kubadili mtaala wa elimu ? Nani mwenye hayo mawazo na uthubutu huo ? Kwanza hata serikali haitakuwa tayari.Sijui ni pekeangu?? Natamani waziri wa Elimu atakaebadili mtaala wa Elimu ktk nchi yetu......
kwa bahati mbaya Haijawai kutokea tangu uhuru hakuna Waziri wa Elim alieitendea haki Wizara hii HAKUNA
Bila shaka mkuuNaona huyu mama kesha amua kujatambulisha rasmi kuwa yupo Team gani
"Ni homa (fever) ya 2025, wasameheni"
Hii kauli imebeba mengi
Ipi hiyo mkuu ?
Mchengerwa yuko TAMISEMI? Tangu lini?Huyu mwamba Yuko vizuri,popote atakapowekwa Nampa tick...halafu Hakuna wizara ngumu Kama Tamisemi na anaitendea haki.