Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Leo ndio nimegundua sababu ya kuachwa baloz Nchimbi, .
Mawaziri watakao achwa wameshapata sababu wameachwa sababu ya urais 2025.kama hiyo ni sababu basi wafuatao nje
1: Mwigulu
2: January
3:Jafo
4:Bashe
Ila tu nimwambie mama hao wabunge wasio waza urais 2025 atawatoa wapi, wabunge wenyewe si ndo hao hao wa Jobo Ndugai . kama baba kila siku anawaza urais urais ,unategemea watoto wanawaza nini
 
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19

Amesema "Nataka niwaambie nitatoa list mpya [ya mawaziri] karibuni. Wale ninaohisi wanaweza kwenda na mimi...nitakwenda nao. Lakini wale wote ninaohisi ndoto zao ni kule, na wanafanya kazi kwa ajili ya kule, nitawapa nafasi waende wakajitayarishe vizuri huko nje."

Sasa hii ndio nafasi aliyekuwa anaingoja Vasco Dagama ili amchomeke RIDHWANI nae aingie kwenye hilo Baraza kabla ya taa kuzima!! Sasa hapo ndio mtaamini kuwa kweli yeye ndio mtawala halisi wa Tanganyika.

Hilo Baraza atakaloliunda liwe na watu wenye sifa na watendaji na sio baraza la kujaza washikaji that will be Samia's undoing at her own peril. To neutralize her opponents and win the sympathy of the wananchi she has no option but to deliver!

Wakuu naomba niulize hivi wale wabunge walioteuliwa na Rais , anaweza kutengua ubunge wao kabla ya kipindi cha Bunge kwisha? Anaweza kutengua ubunge wa Polepole au Bashiru?
 
Screenshot_20220104-220254.jpg
 
Sijui ni pekeangu?? Natamani waziri wa Elimu atakaebadili mtaala wa Elimu ktk nchi yetu......
kwa bahati mbaya Haijawai kutokea tangu uhuru hakuna Waziri wa Elim alieitendea haki Wizara hii HAKUNA
Vipi Kambona na Elinawinga?
 
Ujjnga mwingien anaweza kuwatoa wachapalaza akawarudisha wahuni kama nape na jamii ya makamba

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumrudisha Nape is a NO NO kwani she will be playing into the hands of her enemies. Kutengeneza CABINET under these circumstances is not easy na hapo ndipo busara za watu kama Mzee Mangulla zitamsaidia kwani anawajua na hana makundi!!
 
Kabudi sidhan maan yule mzee anajua kujitengenezea mazingira ya kuaminika sana

Muacheni prof. wa jalalani akale hela yake ya MAKINIKIA waliotuibia na Jiwe wake!! Mpaka leo hatujaona NOAH walizotuahidi!
 
Nawaombea Doto biteko na Adolf mkenda lisiwapitie hili panga la bi mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani wamefanya nini kikubwa
 
Namuona Nape mzee wa goli la mkono kwa mbaaaali kwenye ofisi ya wizara flani hivi.
Aisee . . . hii sasa itakuwa kwishnei. Watu wa team moja pekee ndo watambe tu ?

Kutakuwa na kazi kweli ? Au ndio itakuwa mwanzo wa anguko na ukosefu wa ubunifu ?
 
Akitaka kufanikiwa aweke watu wake.
Huwezi kuishi na watoto wasio wako mkaenda sawa,halafu 2025 tutaweka wabunge tuliowachagua sisi wananchi.
 
Aisee . . . hii sasa itakuwa kwishnei. Watu wa team moja pekee ndo watambe tu ?

Kutakuwa na kazi kweli ? Au ndio itakuwa mwanzo wa anguko na ukosefu wa ubunifu ?
Ndo watakwenda sawa ujui chama kimerudi kwa wenyewe
 
Sijui ni pekeangu?? Natamani waziri wa Elimu atakaebadili mtaala wa Elimu ktk nchi yetu......
kwa bahati mbaya Haijawai kutokea tangu uhuru hakuna Waziri wa Elim alieitendea haki Wizara hii HAKUNA
Nani wa kubadili mtaala wa elimu ? Nani mwenye hayo mawazo na uthubutu huo ? Kwanza hata serikali haitakuwa tayari.
 
Back
Top Bottom