Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

ngoja nimalizie PhD yangu labda nitakuwa mmoja wa wateule!
 
@mamagwajima jiandae kufungasha vilago vyako uende kwenu huko singida.
 
Chuki zako dhidi ya prime minister hazikusaidii,unaumiza moyo wako bure,nakwataarifa yako huyo ndo rais wako ajaye,na Kama humpendi Hama nchi kabisa.
 
Huyu makamu wa afya mchaga huyu mimi huwa simwelewi kabisa...aanze na huyo
 
Kassim Majaliwa
Mwigulu Mchemba
Adolf Mkenda
Dotto Bitebo
Makamba Jr
Mkumbo
 
Sukuma gang zama zenu kwishney hamuamini au
Inaonekana wewe ni mgeni JF, sijawahi kuwa Sukuma Gang, ila hao niliokutajia uzalendo wao kwa nchi hii ni mkubwa mnoo, wana udhaifu wao ila still wanaipenda hii nchi, na hawajawahi kuogopa kuongea ukweli, nadhani ni watu pekee waliongea against Bashite enzi za utawala wa Jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…