Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Huyu mdada mswahili kwelikweli, ogopa mwanamke anaefungulia taarabu kwa sauti ya juu
 
Kusema kweli Mimi naona Bora nchi ijae wapigaji ...angalau huku mtaani pesa zinaweza kuonekana kwani hao wapigaji wakipiga pesa huko serikalin hufungua miradi mbalimbali ambayo itaajiri watu ....
 
Watu wenye mitizamo ya kubinafsisha Tanesco na kugawana share zake. Huku tukidanganywa Tanesco haiwezi kujiendesha kibiashara na tulidanganywa 27, 000/- za kuunganishiwa umeme.

Ununue nguzo kuunganishiwa umeme halafu nguzo hiyo uliyotoa fedha yako kuinunua iwe mali ya Tanesco si yako mnunuzi. Jaribu kufikiri unune simu halafu iwe mali ya Airtel au Voda kwa vile unatunia line yao. Dhuluma za aina hii ni haki kweli kuwa na amani nazo moyoni mwako kama kiongozi?
 
Kusema kweli Mimi naona Bora nchi ijae wapigaji ...angalau huku mtaani pesa zinaweza kuonekana kwani hao wapigaji wakipiga pesa huko serikalin hufungua miradi mbalimbali ambayo itaajiri watu ....
Hizo unazoziona zimeendelea zinefika hapo kwa kuzuia wapigaji.
Wapigaji kumbuka wanapiga pesa za Maendeleo, ujenzi wa shule, barabara, hospitals n.k
Ili serikali yoyote iendelee ni lazima izuie wapigaji, Leo hii nchi Kama Marekani, UK, Franca raisi tu akigundulika amepiga basi jela inamhusu.
Tuache hii dhana ya kusema upigaji unaleta pesa sijui mtaani, Big No.
 
Mwigulu atapona?
 
2024 Tukutane hapa Tubadili katiba Rais Samia atawale milele atake asitake. Hakuna kama Rais Samia.
 
Utii wa DHAHIRI NA KIFICHO kwa mwenyekiti wetu wa CCM ni lazima...

Ni lazima.....
Ni lazima.....
Ni lazima.....
Ni lazima.....
Ni lazima.....

Mwenyekiti tunaye na anatuongoza vyema.......💪

#Siempre JMT
#Siempre Chief Mkuu Hangaya🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…