Baada ya Lissu kutwaa madaraka, wale waliotenda makosa wakiwa madarakani wasamehewe tuanze upya au Sheria ifuate mkondo wake?

CCM ina wasiwasi na Zanzibar kuliko Bara. Uchaguzi bara umeshaisha zamani.
Kila siku siyo jumapili , njama za kishamba za kudivert matokeo kama 2015 sasa baaaaasiiii
 
Erythrocyte
Umenichekesha wallahi
Tuwakusanye tu Uwanja wa Taifa halafu tuwasute weeee toka saa nne asubuhi Hadi saa kumi jioni halafu tuwaache huru waendelee na maisha .
 
Nani anaumizwa? Kila sekta imeimarishwa,afya,miundombinu,elimu n.k. Unataka nini ufisadi?
Wafanyakazi hatuna hamu na serikali hi,miaka mitano empty.
Aisee Mimi sihitaji Cha Sera Wala chochote kutoka Kwa Lissu,hata Sera za Chadema sitaki kuzisikia Wala kuziona.Kura yangu na mke wangu Ni kwa Tundu Lissu,mbunge Nampa wa Chadema na diwani Chadema,Kama hao wote hawatapitishwa na Tume ntachagua wa ACT
 
Hiyo kura yako moja itampeleka wapi? Maana sisi wakulima ni 80% ya watanzania.
 
Je na Sabaya naye asamehewe ? na yule polisi mlevi wa madaraka wa Mbeya je ?
 
Kwenye ilani ya chama chetu pendwa CHADEMA kuna sehemu inazungumzia kuunda kamati ya maridhiano "na mimi nitakuwa mjumbe huko" itabidi tusameheane tuanze tusongembele pamoja. Lissu mwenyewe pia ameshasema hatampitisha mtu kwenye maumivu aliyopitia! Kumbuka 28th October 2020 weka vema kwa Lissu!
 
Ambao wamefikia kiwango Cha kuvunja Katiba ya nchi kwa makusudi na kutokujali washitakiwe,ambao hawaja fikia kiwango hicho wasamehewa kwa mustakabali mwema was taifa letu
 
Kusameheana anzeni huko chadema ndo mje mtuulize wengine. Je, Dr Lilian Mbowe atamsamehe Joyce Mukya?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wasamehewe tuendelee kujenga nchi kwa pamoja. Ni njaa zao tu zinawatuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…