Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #101
Kila siku siyo jumapili , njama za kishamba za kudivert matokeo kama 2015 sasa baaaaasiiiiCCM ina wasiwasi na Zanzibar kuliko Bara. Uchaguzi bara umeshaisha zamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila siku siyo jumapili , njama za kishamba za kudivert matokeo kama 2015 sasa baaaaasiiiiCCM ina wasiwasi na Zanzibar kuliko Bara. Uchaguzi bara umeshaisha zamani.
Nani anaumizwa? Kila sekta imeimarishwa,afya,miundombinu,elimu n.k. Unataka nini ufisadi?Mtza gani anachagua kuumizwa tena 5 yrs
Leo hatukwenda wengi kwa kuheshimu taratibu za tume. Subiri kampeni zianze.
ErythrocyteKuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.
Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao umekwisha ghafla bila wenyewe kujiandaa, huku ikitajwa kwamba ujio wa lissu "The Game Changer" umeharakisha kung'oka kwao.
Sasa nimekuja kwenu wana JF kuuliza hivi, hawa waliotumia madaraka yao vibaya tuwakusanye uwanja wa Taifa tuwaonye na kuwakaripia kwa uchafu wao na kuwasamehe tu au tuache Sheria ichukue mkondo wake?
Kwa upande wangu mimi ni muumini wa kufuata Sheria na haki.
Wafanyakazi hatuna hamu na serikali hi,miaka mitano empty.Nani anaumizwa? Kila sekta imeimarishwa,afya,miundombinu,elimu n.k. Unataka nini ufisadi?
Hiyo kura yako moja itampeleka wapi? Maana sisi wakulima ni 80% ya watanzania.Wafanyakazi hatuna hamu na serikali hi,miaka mitano empty.
Aisee Mimi sihitaji Cha Sera Wala chochote kutoka Kwa Lissu,hata Sera za Chadema sitaki kuzisikia Wala kuziona.Kura yangu na mke wangu Ni kwa Tundu Lissu,mbunge Nampa wa Chadema na diwani Chadema,Kama hao wote hawatapitishwa na Tume ntachagua wa ACT
Hata hujui unachoongelea. Baada ya uchaguzi utakuja kulalamika na ndugu yako TL na maisha yataendelea. Hata hivyo narudia tena uchaguzi upo Zanzibar huku Bara kazi imeisha.Kila siku siyo jumapili , njama za kishamba za kudivert matokeo kama 2015 sasa baaaaasiiiiView attachment 1532393
Waulize wakulima wa Mbaazi , korosho na pamba , halafu waulize wavuvi wa MwanzaHiyo kura yako moja itampeleka wapi? Maana sisi wakulima ni 80% ya watanzania.
Kula kulala utayajulia wapiNani anaumizwa? Kila sekta imeimarishwa,afya,miundombinu,elimu n.k. Unataka nini ufisadi?
Kwenye ilani ya chama chetu pendwa CHADEMA kuna sehemu inazungumzia kuunda kamati ya maridhiano "na mimi nitakuwa mjumbe huko" itabidi tusameheane tuanze tusongembele pamoja. Lissu mwenyewe pia ameshasema hatampitisha mtu kwenye maumivu aliyopitia! Kumbuka 28th October 2020 weka vema kwa Lissu!Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.
Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao umekwisha ghafla bila wenyewe kujiandaa, huku ikitajwa kwamba ujio wa lissu "The Game Changer" umeharakisha kung'oka kwao.
Sasa nimekuja kwenu wana JF kuuliza hivi, hawa waliotumia madaraka yao vibaya tuwakusanye uwanja wa Taifa tuwaonye na kuwakaripia kwa uchafu wao na kuwasamehe tu au tuache Sheria ichukue mkondo wake?
Kwa upande wangu mimi ni muumini wa kufuata Sheria na haki.
Hiyo kura yako moja itampeleka wapi? Maana sisi wakulima ni 80% ya watanzania.
Ambao wamefikia kiwango Cha kuvunja Katiba ya nchi kwa makusudi na kutokujali washitakiwe,ambao hawaja fikia kiwango hicho wasamehewa kwa mustakabali mwema was taifa letuKuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.
Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao umekwisha ghafla bila wenyewe kujiandaa, huku ikitajwa kwamba ujio wa lissu "The Game Changer" umeharakisha kung'oka kwao.
Sasa nimekuja kwenu wana JF kuuliza hivi, hawa waliotumia madaraka yao vibaya tuwakusanye uwanja wa Taifa tuwaonye na kuwakaripia kwa uchafu wao na kuwasamehe tu au tuache Sheria ichukue mkondo wake?
Kwa upande wangu mimi ni muumini wa kufuata Sheria na haki.
Kusameheana anzeni huko chadema ndo mje mtuulize wengine. Je, Dr Lilian Mbowe atamsamehe Joyce Mukya?Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.
Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao umekwisha ghafla bila wenyewe kujiandaa, huku ikitajwa kwamba ujio wa lissu "The Game Changer" umeharakisha kung'oka kwao.
Sasa nimekuja kwenu wana JF kuuliza hivi, hawa waliotumia madaraka yao vibaya tuwakusanye uwanja wa Taifa tuwaonye na kuwakaripia kwa uchafu wao na kuwasamehe tu au tuache Sheria ichukue mkondo wake?
Kwa upande wangu mimi ni muumini wa kufuata Sheria na haki.
Nje ya madaKusameheana anzeni huko chadema ndo mje mtuulize wengine. Je, Dr Lilian Mbowe atamsamehe Joyce Mukya?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Wasamehewe tuendelee kujenga nchi kwa pamoja. Ni njaa zao tu zinawatuma.Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.
Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao umekwisha ghafla bila wenyewe kujiandaa, huku ikitajwa kwamba ujio wa lissu "The Game Changer" umeharakisha kung'oka kwao.
Sasa nimekuja kwenu wana JF kuuliza hivi, hawa waliotumia madaraka yao vibaya tuwakusanye uwanja wa Taifa tuwaonye na kuwakaripia kwa uchafu wao na kuwasamehe tu au tuache Sheria ichukue mkondo wake?
Kwa upande wangu mimi ni muumini wa kufuata Sheria na haki.
Swadakta.Wasamehewe Ila tuombe Mungu wasife mapema ili washuhudie utukufu wa Mungu ili wajifunze kuwa madaraka sio Kila kitu Yana mwisho.