Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Ni bora,acpew nyadhifa na jiwe.jf,tunamhitaji sana na bad tunahitaj San maarifa yake. Role model makini sana huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inaweza kuwa sababu mojawapo itakayo ondoka na mtu. Ile self recognition kwa watumishi wa wizarabya elimu.
Dar pekee kuna kura za kutosha kuftengeneza tofauti za mshindi. Kama 2015 Magufuli alimzidi Lowasa kwa kura millioni 6 mbona Dar peke yake inatoa zaidi ya kura hizo.
 
Hili la viatu akina sisi tulishaliona, viatu vya size yake ni kumpokea jamaa.
P.
 
Ila Makonda hapana simpi nafasi ya kushinda ni mkurupukaji sana labda ajirekebishe kwanza
Mkuu, kuna popote imeelezwa kuwa mkurupukaji hawezi kuwa rais wa Tanzania?!. Kwenye hii hoja ya ukurupukaji, wewe umemuona Makonda Tuu?!.
P.
 
Uthubutu wa kutembea uchi kariakoo ndio unausifia?
 
Ngoja ninyamaze tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…