Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Habari haina ukweli wowote ipuuzwe.
Hadi muda huu tigo sh 1500 unapata mb 300
 
Hawakusikia kilio chenu.
Ni amri toka juu.
Simu moja tu jamaa walirudi ofisini japo ilikua sikukuu halafu usiku.
 
Nilitaka kumsaidia huyo Waziri wa Teknolojia..... ha ha ha.... Wayonge tutaahidiwa mengi sana.... Mara Mkongo wa Taifa utashusha gharama za mtandao... Gesi ya Mtwara itapunguza gharama za gesi.... leo Bwawa la Nyerere litapunguza gharama za umeme..... Wayonge wenzangu tuendelee kusubiri.... Nashauri mwenendo huu wa kusubiri reaction ya wananchi.... mtakuwa mnajiwekea mazingira magumu kuongoza.... Hii ni zahiri kuwa wayonge hawakuhusisha ktk kutoa maoni.... Big up Wananchi Wayonge TZ.
 
Ukiangalia hizo bei zilizokuwa zianze kutumika,inabidi useme asante Mungu kwa kutuweka kwenye maombolezo
 
ME NAJIULIZA TU ILIKUWAJE MBAKA WAKAWEKA TASWIRA HII KWENYE VIFURUSHI,SABABU HASA ILIKUWA MAPATO AU KUKOMOA?
 
Na mafuta jamani,yamepotea especially ya alizeti na ukiyakuta hiyo bei balaa lita 5 elf 30 badala ya elf 22
Duh! Majuzi nimeenda dukani nimekuta lita 3 sh. 22,000! Kwa mara ya kwanza nami nikagundua kwamba "kumbe mimi ni mnyonge" manake kwa unyooonge, nikamwambia shopkeeper "nipe hayo..." nikimaanishe anipe Korie ambayo nilishayasahau yanafananaje!!
 
Baada ya serikali kutoa tangazo la kusitisha bei mpya ya vifurushi hasa vya data bado makampuni yamekaza shingo yameongeza bei na hayajarudisha kama ilivyokuwa awali huku suala hili likitafutiwa suluhisho . Je jeuri hii inatoka wapi?

Kabisa sioni kama wametekeleza agizo la serikali ,mpaka sasa bei ni ile ile ya kuumiza....Naangalia hapa voda 1000 ni 300MB.
 
Hawa TCRA wapumbavu tu. Mabadiliko ya vifurushi kwa mitandao yote hayajatokea kwa bahati mbaya, walikaa mezani wote na wakapanga hizo bei. Halafu eti leo wanajifanya wamesikia kilio chetu.
 
Tunangoja Utekelezaji bila shaka,,,tusije kushangilia wakati wanapunguza % moja
 
Hakuna utatuzi walioufanya hapo zaidi ya kurudisha tatizo la mwanzo lililokuwa linalalamikiwa.

Mh. Dr Faustine Ndugulile hajawahi kufanya jambo lolote la kuonekana katika Wizara yoyote aliyokuwa. Akiwa Wizara ya Afya huduma zilikuwa mbovu, watoa huduma ni miungu watu na wizi wa dawa kila mahali. Alikuwepo tu. Hana hata kimoja cha kuonesha alichosimamia.

Hata hii wizara mpya hatofanya lolote la maana zaidi ya kuharibu tu.
 
Haya yipangwa akiwepo na sio kwa ajili ya Mama,
Hayo makubaliano na hao watu wa mitandao na TCRA yalifanyika mwezi gani!?
 
Wanamdhiti bwana yule kwa kupunguza mapato ya serikali
 
Mlizoea kuuza maneno ya fitina, kuhakikisha kuwa hakuna amani nchini ili muendelee kujipatia ridhiki kwa unafiki wenu.

Leo hii kaingia mama wa kazi asiyeendekeza majungu na fitina hivyo nyinyi mlio zoea kuuza majungu na fitina hamna nafasi tena.

Watu hawaichukii ccm kama jina,no bali watu wanachukia wanao kiongoza hicho chama na sasa chama kimepata kiongozi mwenye maono na moyo wa upendo kwa watanzania.

Nyinyi MATAGA ebu kaeni pembeni ili msimkwamishe mama yetu maana nyinyi ni masalia na hamna nia njema kwa mama yetu.
 

Nani kakuambia alikua anauza maneno ya fitna!? Unajua mtu anayewaza mambo yasiyokuwepo na kutunga mambo na kuyashikia bango pamoja na kuyasambaza kama wewe anaitwaje!?

Wacha umbea na majungu basi, unashusha heshma yako bure
 
Sio kweli menu imebadilika imerudi kama zamani hapa
Naona Eatel inanigomea hapa kila nikitaka kuingia kwa *150*60# au *149*99# inaniandikia Not registerd on network nazan wapo kwene hayo marekebisho yavifurushi virudi kama zamani
 
Nani kakuambia alikua anauza maneno ya fitna!? Unajua mtu anayewaza mambo yasiyokuwepo na kutunga mambo na kuyashikia bango pamoja na kuyasambaza kama wewe anaitwaje!?

Wacha umbea na majungu basi, unashusha heshma yako bure
Wacha niishushe tu kama kuwasema nyinyi wanafiki wacha ishuke.
Nyinyi MATAGA ni wanafiki na hatutakubali kikundi chenu kimuharibie mama yetu .

Kama mmeona mmekwama hameni kabisa nchi.
Maana mmeshaanza kuomba samahani kwa mliyo watendea watanzania.

Mbona hamkuomba hiyo samahani kwenye utawala wa jiwe?
Naona mmeanza kujua kuwa kila mweupe siyo mzungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…