Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Tozo na vikwazo vya kibiashara ndio chanzo. Mfano kuzuia Dangote Cement kununua makaa ya mawe toka South Africa anapoyapata kwa bei nafuu na kumlazimisha anunue KiWira kwa bei ya juu kulifanya apandishe bei
 
Angekuwa fulani angesema tunapoteza muda wa kulima kwenye mitandao hivyo tutwangwe haswaaa na angeungwa mkono. Haya mzee Slaa tayari tangazo lingine limetoka wahi ukapongeze. Yani ukimaliza huu mwezi ukiwa balozi nenda katambike!
Dr Mihogo anazeeka hovyo kabisa hata aibu haoni
 
Nafikiri serikali inafanya mchezo wa "kuiba yenyewe na kukamata mwizi yenyewe"ili ijichukulie credit
 
Waziri wa FEDHA wakati huo, alipandisha Kodi na matokeo yake bidhaa hizi zikapanda.

Bando za internet

Mafuta ya kula

Unga wa Ngano

Na Mafuta ya Magari

Tupige kelele tu, na warekebishe pia fao la kujitoa, na watu walipwe mafao yao Kazi inapoisha kwa kuacha au mkataba kuisha.
 
Naamin huu ulikuwa ni mpango wa marehemu..

J.P.M → Jumla Pumzikaunapostahili Marehemu


SGR na stieglers vikikamilika tutakukumbuka daima.. Ila huku kwingine [emoji36]
 
Mtetezi halisi wa wanyonge anaonekana sio yule mkandamizaji wa wanyonge aliyekuwa anajiita mtetezi wa wanyonge.Huko aliko sijui atakuwa mtetezi wa nani
 
Back
Top Bottom