Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Hatari sana
Ushindani usio na bei elekezi ulifanya kampuni za simu zishindanie wateja... Bei ELEKEZI NI HATARI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila hawa wasomi wetu ,changamoto
 
Nadhani madame Samia jumanne anaweza kufanya Jambo kwenye hii wizara inayoongozwa na daktari wa binadamu. Alizungumza Jana kwenye hotuba yake kuwa anawapanga mawaziri kulingana na angalau taaluma zao ziendane na matakwa ya wizara husika atakayokwenda kuiongoza!
Ni wakati sahihi kumpeleka huyu Ndugulile kunakomfaa yaani wizara ya afya kwani huku kwenye mawasiliano anakwama mno! Madame tutanyie wepesi jumanne mbali!
Itatusaidiaa sana ...
 
Akitoka hapo akemee na matamko ya kipuuzi ya Polisi pamoja na ukamataji usiyofuata Sheria
 
Utaratibu ni ule ule Sifa kwa ngazi ya juu ya Mamlaka
 
Angekuwa fulani angesema tunapoteza muda wa kulima kwenye mitandao hivyo tutwangwe haswaaa na angeungwa mkono. Haya mzee Slaa tayari tangazo lingine limetoka wahi ukapongeze. Yani ukimaliza huu mwezi ukiwa balozi nenda katambike!
Watu kama Dr.Mihogo ndiyo wale Bwege aliwaita mbumbumbu, "akiulizwa una njaa anajibu ndiyo, umeshiba anajibu ndiyo, why?"
 
Credit atapewa Samia Suluhu Hassan badala ya wapiga kelele mitandaoni.

Ndugulile tunakutaka ujiuzulu. Umeshindwa kumshauri rais.
Nafikiri walishafikia maamuzi walipokutana TCRA na mitandao ya simu pamoja na huyo Waziri mjinga miezi kadhaaa huko nyuma.

Walipanga rasmi ianze mwezi huu hivi vifurushi vipya. Na ilikuwa kabla ya msiba wa taifa mkuu
 
Samia pita na hicho kichwa cha waziri jamani utukoshe roho
Na asisahau na yule mhandisi CEO wa TCRA pia, manake naye atakuwa mhusika muhimu, unless kama maagizo ni kutoka juu. Vilevile malengo ya trilioni 2, kwa mwezi tumeshaambiwa lazima yafikiwe!
 
Back
Top Bottom