Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Wakuu,

Baada ya malalamiko ya wanachi kupitia mitandao ya kijamii hatimae wamesitisha gharama hizo kumbe inawezekana kupanda kwa gharama bidhaa mbalimbali sababu huwenda ni mfumo wa serikali na wanaweza kupunguza wakiamua.

Mfano wa bidhaa za wananchi hulalamikia serikali ni kupanda kwa bei sukari,mafuta ya kupikia na saruji na bidhaa za ujenzi nk

Serikali naomba iangalie hizi bidhaa kwanini zimepanda sana sana irekebishe wananchi wa wakaida wajenge nyumba,mama n'tilie akiwa elfu Tz 25,000 aweze kuanzisha mtaji wa kuchoma maandazi, wanachi tufurahie maisha mzunguko wa pesa uwe mwingi mapato mbona yatapatikana hata trillion 2.5 kwa mwezi.

Inawezakana....
 
Kwa uamuzi huu uliofanywa na serekali.Je ni wakati wa Mama Samia kumfyekelea mbali Ndugulile?
Screenshot_20210402-212936.jpg
 
siasa kila kona yan
"create a problem and act as if u solve it"

Exactly!

Wao ndio waliokaa nao wakapanga bei, kisha wanajifanya hawaoni impact yake sasa wanakuja na “kusitisha” !

Kwa mtu wa kawaida anashangilia
 
Nadhani madame Samia Jumanne anaweza kufanya jambo kwenye hii Wizara inayoongozwa na daktari wa binadamu. Alizungumza Jana kwenye hotuba yake kuwa anawapanga Mawaziri kulingana na angalau taaluma zao ziendane na matakwa ya wizara husika atakayokwenda kuiongoza!

Ni wakati sahihi kumpeleka huyu Ndugulile kunakomfaa yaani wizara ya afya kwani huku kwenye mawasiliano anakwama mno! Madame tutanyie wepesi Jumanne mbali!
 
Back
Top Bottom