I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Jana na leo inawezekana wamepata hasara haijawahi hushuhudiwa kwa haya makampuni ya mawasiliano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama walivyo badili katazo lao la sherehe za pasakaWalikuwa wanapima upepo tu na hili tulilisema humu.
Mitandao ina nguvu sana!
Dr.Slaa sasa atapongeza uamuzi huu
100% wera wera weraMatumaini kila sekta.
Indeed this is the beginning of the new era.
RIP Magufuli.
Long live Mama Samia.
Happy Easter folks
Dr Mihogo anazeeka hovyo kabisa hata aibu haoniAngekuwa fulani angesema tunapoteza muda wa kulima kwenye mitandao hivyo tutwangwe haswaaa na angeungwa mkono. Haya mzee Slaa tayari tangazo lingine limetoka wahi ukapongeze. Yani ukimaliza huu mwezi ukiwa balozi nenda katambike!
Why notis this official
Hahahha!hapa najua kuna kundi unaamua kulikera tu ama kwa kujua au kutokujua,ila ol kudos mama SSHMama aongezewe mda katiba ibadilishwe atawale milele
Msaidizi wa Mbowe zamani! Diwani wa Mtoni Mtongani;
Muishi kama mashetani😁😁😂😂Fedha za kujenga Chato zilikuwa zinatafutwa . MTU huyu alikuwa WA ajabu Sana mishahara haijaongezwa miaka mitano lakini kila kitu kinapanda. Hivi alitakaje?.
Wengi munayaangalia haya mambo juu juu, hamuangalii chanzo kilikuwa ni nini.... tafakari kwa kina... nyuma kulikuwa na mkono wa mtu... ni maoni tuNdungulile aondoke ana roho chafu kama wauza sumu.