Kwa hili kosa ilitakiwa
Dr Faustine Ndugulile ajiuzulu mara moja kwa kudanganya umma ,alishupalia kwamba gharama zitashuka za data kutoka sijui Tsh 50 hadi 2 mpaka 9 Tsh ,cha ajabu gharama zime double , yaani 1000 napata MB 350??? 10000 GB 4 kutoka GB 12? TCRA inabidi wakusanye maoni upya maana tunarudi nyuma ,nchi nyingi gharama za internet zipo chini sana ila huku wanazidisha.
Na pia wasiangalie gaharama kubwa za data ,waangalie pia Mobile Money ,tozo za kutuma na kutoa pesa ni kubwa sana ,kila siku tunaona makampuni wanatoa records zao za faida kwa kuwakamua wananchi...imagine voda inaingiza mabilioni ya shillingi kwa mwezi kutoka kwenye Mpesa yaani wanatengeneza faida maradufu kwenye Mpesa,why TCRA wasi regulate faida kama EWURA wanavyoregulate price ya mafuta? How Mpesa waingize faidi ya zaidi ya bilioni 15 kwa mwezi? Huo si wizi? Kwanini gharama za kutuma na kutoa wasipunguze?