Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Hii conflict Kati ya executive na Bunge itufungue macho kwa hitaji la katiba mpya. Speaker kuzodolewa namna ile ni kuonesha ya kwamba Bunge letu halina nguvu. Katiba mpya inahitajika kuweka checks and balances. Tatizo ukisema katiba mpya watu wanafikiria CHADEMA basi, lakini madhara Kama haya hawayaoni.
Ni kweli kabisa, kama Ndugai angelielewa hili akaacha ujinga wa kushirikiana na jiwe kuangamiza upinzani leo hii asingechambwa hivi maana Rais angemheshimu kwa kuona kuwa huenda ataweza kuruhusu mijadala kwa upinzani na wapinzani ndani ya ccm wangeliungana kumsulubu Rais.

Iwe fundisho kwetu sote kuwa Katiba mpya, tume huru na bunge lenye wabunge mbadala Ndiyo afya ya maendeleo ya nchi.
 
Pascal this time...you are wrong....!

Silka ya mwanamke kwenye defence ni hatari sana na kati ya watu hatari sana nawaogopa ni mama akiamua kukubomoa anakubomoa mpaka huezi tena hata kujikusanya...a destruction monster....

Pili ile ilikua wrong move..naamini jamaa ako alisukumwa na akapanick...akaongea na habari tukaziona.jiulize mangapi hatuyajui...

2025 hamna jipya...mama kama kawa.....! Ila kuna panga hapa linapita sijui bana labda itakigawanya chama chenu...hilo ndio hitimisho...

Kuna damu nyingi sana zinaondoka...za zamani hatutaki lawama...

NB: Mama hana shida na sisi kama mlivyotunyanyasa kipindi chenu,sku hz tuna mawaziri,viongozi na mengineyo tegemea kelel chache sana kutoka kwetu upande huu wa KI A TA
 
Kumbe Jo kazodolewa, aseee ndg watanzania wa social media hongereni, maana nyie ndiyo mna nafasi ya kujadili tu, wale wa kwenye radio na tv hawayapati haya.

Kule yanachujwa yanabaki yale ya kasema...!
 
Kimsingi inatakiwa ajiuzuru kama ni mwanasiasa aliekomaa,ila hawezi fanya ivo sababu ni kuwa nchi hii ukijiondoa hata kwa matatizo madogo tu bas utafuatwa sana na matatizo makubwa kutoka kwa wakubwa...

Huyu jamaa ni mtu wa hovyo,yampasa akomae hapo na abadili gia yake aliotaka kwenda nayo jana ya kupamba na arudi kwa kile anachokiamini..

Kisemeo anacho,na anaweza akapambana akatengemeza himaya yake pia ni kukomaa tu,kwan hata wanaomsapoti mama hatujui wapi ni wakwake kweli!!
 
Ki-Katiba Spika Kama anatokana na wabunge atapoteza nafasi ya uspika Kama hana sifa za kuwa mbunge. Sifa ya kuwa mbunge ni kuwa mwanachama wa Chama cha siasa! Rais ndiyo Mwenyekiti wa CCM kwa hiyo Chama kikimvua uanachama tu amekosa uspika na ubunge na hata Mafao halipwi.

Ila Ndugai ni mburula na wenzie akina Bashiru wamemtanguliza yeye naye kaingia kingi.
Kwahiyo ndungai katangulizwa tu akajiendea kama beberu??
 
Hiyo haiwezi kutokea Rais Na Mwenyekiti wa chama Na amirijeshi mkuu na mkuu wa hazina ya nchi akose LA kufanya kuwasambaratisha maadui zake. Hiyo ni ndoto ya mchana kweupe, ccm asilia IPO intact, hao wanaobweka ni wale neo-ccm wageni Na wachanga kwenye chama kama akina wale watoto waliofishwa bungeni kupunguza shombo za kitoto. Mzee Yusufu Makamba mmoja ni sawa Na akina polepole 3000.
CCM OYEEEEEEEEEE

CCM OYE!

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Hiyo haiwezi kutokea Rais Na Mwenyekiti wa chama Na amirijeshi mkuu na mkuu wa hazina ya nchi akose LA kufanya kuwasambaratisha maadui zake. Hiyo ni ndoto ya mchana kweupe, ccm asilia IPO intact, hao wanaobweka ni wale neo-ccm wageni Na wachanga kwenye chama kama akina wale watoto waliofishwa bungeni kupunguza shombo za kitoto. Mzee Yusufu Makamba mmoja ni sawa Na akina polepole 3000.
Kilitokea kundi kubwa wakiwa na "imani " na mtu wao ambae alikuwa na pesa na ushawishi mpaka kwa baadhi ya wana CHADEMA.

Mwenyekiti wa Chama alikuja na kumkata hata 5 minutes haikuchukua.

Hebu tumtafute Jumbe Brown atukumbushe
 
Kimsingi inatakiwa ajiuzuru kama ni mwanasiasa aliekomaa,ila hawezi fanya ivo sababu ni kuwa nchi hii ukijiondoa hata kwa matatizo madogo tu bas utafuatwa sana na matatizo makubwa kutoka kwa wakubwa...

Huyu jamaa ni mtu wa hovyo,yampasa akomae hapo na abadili gia yake aliotaka kwenda nayo jana ya kupamba na arudi kwa kile anachokiamini..

Kisemeo anacho,na anaweza akapambana akatengemeza himaya yake pia ni kukomaa tu,kwan hata wanaomsapoti mama hatujui wapi ni wakwake kweli!!
Mkuu,

Usimdanganye Ndungai ukamtia kwenye matatizo zaidi. Za kuambiwa changanya na za kwako
 
Back
Top Bottom