Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Status
Not open for further replies.
Hii ndiyo Tanzania ya CCM,...
Mimi nimerudi home kuja kupiga kura ila daah to my surprise nimekuta watu wanashabikia CCM hadi nimepata hasira bure,...

Manyoka yako mitaani kila kona yani,....
Hili linchi lishakuwa la kifashisti,....

Same here.

Niko disappointed sana na baadhi ya Watanzania.
 
poleni sana eng Melo,maana imenipa tabu sana leo,JF ndio naitegemea kwa kupata yatakayojiri baada ya uchaguzi
 
Mwenyewe nilikuwa kama mgonjwa kila baada dakika nachungulia.
 
Maxence sina uhakika na taarifa yako hii,ingekuwa hacked na wataalamu waliobobea isingeinuka leo hii,hapo kubalini mambo yaliwazidi leo na tuliona tangia Jana kwamba JF lazima iende down Kama hawatojidhatiti,error nlioyokuwa napata ni 522...causes zake nyingi ni kuzidiwa kwa server tu.
 
Huu sio wakati wa kupeana pole wakuu.... Manahodha kazi buti meli lazima iingie bandarini......
 
Tukio hili huenda ni mpango kababe uliofanywa kwa ustadi mkubwa na wataalam wa tehama wa bei nafuu kutoka nje ya nchi.
 
Poleni sana mkuu....., hii nchi siku iz kila kitu kinataka kifanywe kinyume na sheria, walishindwa kuizima kwa sheria wameamua kuwavuruga kisayansi..so sad.....
 
Big up jf Leo nimekosea raha sana kutokuwa jf hewani!
 
Dah nilikuwa nashangaa tatizo ni nn? asante kwa taarifa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom