Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Status
Not open for further replies.
Kazi nzuri mkuu, hongereni sana..naungana na uongozi wa JF kulaani kilichofanywa..
 
daaaa afadal 2 aiseee w2 2likaa ha2na amani wazee wa ripoti hampo online
 
Bravo bro Melo,wanaogopa, wakati muda wa kufanya walikuwa nao wao badala ya kufanya wakakalia wizi tu.
 
Bw. Melo. Unatakiwa kufanya yafuatayo-

1. Kuongeza usalama katika server na pia kufunga loopholes zozote zilizo wazi zinazoweza kusababisha ddos attack.

2. Ku-backup data zote kwenda kwenye server tofauti.

3. Katika kipindi hiki cha uchaguzi, Kuwa makini na taarifa zozote kwenye post za users, taarifa ambayo si ya ukweli inaweza kukutia hatiani.

4. Kama wamefanya ddos attack leo then wanaweza wakaifanya kesho pia. Fanya 24 hrs live security monitoring kwenye site.

5. Mungu awape uhodari na moyo wa ujasiri katika kipindi hiki kigumu. Sababu "you don't know who you are dealing with" ( hadi sasa ushawajua)
 
Mimi baada ya kuhangaika bila mafanikio nilidhani tayari TCRA Wametunyama😕zisha kwa maelekezo kutoka juu
 
Poleni jamani, duh yaani watu wana bidii za kiajabu hadi kuangusha mitandao wakitumia DDOS.
 
Mimi baada ya kuhangaika bila mafanikio nilidhani tayari TCRA Wametunyama😕zisha kwa maelekezo kutoka juu

Nimeipanda kauli hii

"Kwa maelekezo kutoka juu" au
"Kwa maelezeko kutoka mamlaka za juu"
 
Poleni na kitu cha ajabu kimenitokea jioni hii baada ya JF kurudi hewani. Ile nafungua tovuti ya JF ikanionyesha nime-sign in automatically bali jina la mwanaJF mwingine - niliweza ku-access account yake yaani notifications, inbox na kutuma new posts. Nikasign out na kuingia kwa jina langu. Hili limenishangaza sana na nimeona niwajulishe wahusika.
 
Bora mmerudi hewani duh!! Yaan khali tete mpaka huku??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom