Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Status
Not open for further replies.
Hongera sana #Mkuu kwa kazi nzuri mlioifanya ya kuhakikisha JF inarudi hewani.
 
Sikujua kilichokuwa kimewatokea maana kila nilipokuwa najaribu kuingia ilikuwa inashindikana, kumbe kulikuwa na hujuma ya kimtandao. Poleni sana Melo.
 
kutokana na hili,naomba ianzishwe project ya open jf ,wadau wa it wahusike kuijenga ili iwe ngumu kuipiga vita
 
Wamechelewa maaamuzi ya kukubali mabaddiliko tuliyaamua siku nyingi saaana hapa ni mabadiliko tu hata wafanye nini
 
Hongereni sana kwa juhudi mzilizofanya hadi mkarejea, sababu Jf ni tegemeo kubwa sana la kupata habari tena hasa kipindi hiki cha matokeo.
 
Poleni sana ndugu...nimejaribu mara nyingi kuwapata bila mafanikio nafurahi mmerudi hewani..
 
Jongefeni munue kuwa kuanzia sasa nyie ndo mmebobea
 
Hapo ndio JF ADMIN mtajua watu wanaposema kuna vyama ambavyo pamoja na kupata support yenu bado ni sumu kwa nchi yetu!! Hawa wahujumu mchana wanawachekea usiku ni Wanga wakubwa! JIFUNZENI
 
Mimi ilikuwa niwapige chini kuanzia leo, kama chanzo changu cha habari muhimu! Big up Tanzanian social media! Utuvumilie ukiona post za hatari maana tumechoka!
 
Sasa naweza kuzima TV nikaendelee apa. Hongereni sana na poleni kwa kazi
 
Washindwe wote wenye hila za kifisadi na kiconservative
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom