Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Status
Not open for further replies.
pole M.M.....leo siku yangu haikuwa vizuri kuikosa JF...

Jamani watu wazima na akili zao wamo humu tena info nyingi zilikuwa zinapatikana kwa hao hao mnaowatukana grow up guys. Lets move on baada ya kufahamu matokeo.
 
Watu tumepwaya sana baada ya huu mtandao kuwa attacked... Ni kama kuliwa hakuna chombo kingine cha kutupasha habari
Walaaniwe. Yaani tumepata shida kweli. Mimi niliishia kucheck Mwananchi digital - walijitahidi kidogo kuleta vi-updates uchwara uchwara lakini waliweza kunisogeza hadi hapa. Hongera sana kwa kuwashinda maadui
 
Poleni sana Adm na Hongereni kwa kubaini na kulifanyia kazi.
JF imekuwa ni Sauti ya WaTanzania.
Bravo JF
 
Pole adm, ilikuwa tatizo kuwapata...A luta continua
 
Mkuu Maxence Melo ninakushangaa uwe na attack ya seven hours na bado usiseme mhusika ni nani? Kuna umuhimu gani wa kutoa taarifa za kulalamika ikiwa hujui nani kakupiga? Social media zinazoleta mabadiliko duniani haziamini katika woga wa kuhifadhi kitumbua cha kesho.

Ulikuwa na nafasi ya kueleza dunia kwamba mmepata attack toka wapi. La sivyo hakuna maana ya kutoa taarifa kama hizi. Kama mmeshindwa basi Jamiiforums si ile Where we Dare to Talk Openly!
 
Si jambo jema kukubali kila unachoosmbiwa; inawezekana ni natural causes au traffic jam au overly exuberance ya fundimitambo wako. Jaribu kutoa marlezo zaidi: nani, lini, wapi, why? Je, vile tumeshamjua why not give them a taste of their own medicine. Frankly, I don't believe you. Could it be sheet ineptitude? WM
 
Nilihangaika kuitafuta JF leo, ndio sehemu muhimu nayoweza kupata habari za nyumbani.
Kila nikiingia naambiwa kuna viruses.
 
Mtajua sasa mlikua hamtambui hi ndo tizii hayafanyiki popote haya maxene mkuu tunasubiri report kama ndo hawa hawa wamefanya yao au laa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom