Hii ndiyo Tanzania ya CCM,...
Mimi nimerudi home kuja kupiga kura ila daah to my surprise nimekuta watu wanashabikia CCM hadi nimepata hasira bure,...
Manyoka yako mitaani kila kona yani,....
Hili linchi lishakuwa la kifashisti,....
blaza hili swali lako dahKwa iyo post za zamani zimepotea?
Huu sio wakati wa kupeana pole wakuu.... Manahodha kazi buti meli lazima iingie bandarini......