Bw. Melo. Unatakiwa kufanya yafuatayo-
1. Kuongeza usalama katika server na pia kufunga loopholes zozote zilizo wazi zinazoweza kusababisha ddos attack.
2. Ku-backup data zote kwenda kwenye server tofauti.
3. Katika kipindi hiki cha uchaguzi, Kuwa makini na taarifa zozote kwenye post za users, taarifa ambayo si ya ukweli inaweza kukutia hatiani.
4. Kama wamefanya ddos attack leo then wanaweza wakaifanya kesho pia. Fanya 24 hrs live security monitoring kwenye site.
5. Mungu awape uhodari na moyo wa ujasiri katika kipindi hiki kigumu. Sababu "you don't know who you are dealing with" ( hadi sasa ushawajua)