Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Status
Not open for further replies.
Poleni mkuu -Ninaamni ukweli utashinda daima
hata like tab wameiminya
 
Kwa nguvu zote nalaani shambulio hilo...na nawatakia kila la kheri wataalam wa jamiiforums katika jitihada za kupambana na hujuma hizi.
 
Tunawajua wabaya wetu lakini waambieni SIKU MOJA HAKI ITATAWALA KAMWE hamtaiweka UVUNGUNI.
 
Kwa hali kama hii utasema hii nchi iko huru kweli ?
Kwa nini wananchi wasiombe kujikomboa upya.
 
Na post zangu zote za zamani zimepoteaaaaa

Acha kudanganya,DDOS ni Distributed Denial Of Service hii inafanya watu wasiweze kuaccess kitu na haipotezi information,inazuia watu wasipate service .
 
hongereni sana,msikate tamaa najua mna maadui wengi zaidi ya kabla ya uchaguzi. Mwenyezi Mungu awalinde na kuwaongoza.
 
Acha kudanganya,DDOS ni Distributed Denial Of Service hii inafanya watu wasiweze kuaccess kitu na haipotezi information,inazuia watu wasipate service .

Sasa nn maana ya mm kusema zimepotea??? Namaanisha kwa sasa SINA ACCESS NAZO. Kama zitarudi baadae hayo ni masuala ya system admin na hayako chini yangu
 
Hongereni kwa juhudi zenu kurudisha jukwaa, nilitafuta jukwaa mbadala sikulipata, kuna ile mwanahalisi forum post chache sanaa .... nikakimbilia JF Facebook nikakuta vipost vyepesiii aah nikajipa moyo kwamba heri kukombeleza kuliko kula ugali bila mboga. JF ni homa yao
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…