1 10Shoka14 JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 305 Reaction score 122 Oct 25, 2015 #41 Hongereni kwa kurejea. Wasalaam
BansenBurner JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,810 Reaction score 5,773 Oct 25, 2015 #42 Hao jamaa watafuteni muwaajiri kama ni joblesss.
sunola JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 2,781 Reaction score 1,739 Oct 25, 2015 #43 Safi sana Max daah nlikuwa nimeshapungua kabisa daaah
sunola JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 2,781 Reaction score 1,739 Oct 25, 2015 #44 kinyoba said: Watu tumepwaya sana baada ya huu mtandao kuwa attacked... Ni kama kuliwa hakuna chombo kingine cha kutupasha habari Click to expand... Hakika mkuu yaani nimedhoofu kabisa
kinyoba said: Watu tumepwaya sana baada ya huu mtandao kuwa attacked... Ni kama kuliwa hakuna chombo kingine cha kutupasha habari Click to expand... Hakika mkuu yaani nimedhoofu kabisa
mcShayo Member Joined Nov 23, 2010 Posts 93 Reaction score 24 Oct 25, 2015 #45 Watahangaika sana. Poleni JF.... Afadhali mmerudi hewani
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,772 Reaction score 22,598 Oct 25, 2015 #46 Hongera mkuu, MUNGU azidi kukupigania kwa kila kazi ya mikono yako
Jumong S JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 7,385 Reaction score 10,659 Oct 25, 2015 #47 Tuko pa1
crunkstaa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 331 Reaction score 159 Oct 25, 2015 #48 Hongera wakuu.tupo pamoja sana Long live jamiiforums
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,391 Oct 25, 2015 #50 Poleni sana
mbinde JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 801 Reaction score 651 Oct 25, 2015 #51 Pamoja sana Jf
Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,171 Reaction score 15,760 Oct 25, 2015 #52 Nimekwazika sana JamiiForums kutokuwa hewani siku muhimu kama ya leo,nilitegemea kupata updates humu but nashkuru mmerejea tena.
Nimekwazika sana JamiiForums kutokuwa hewani siku muhimu kama ya leo,nilitegemea kupata updates humu but nashkuru mmerejea tena.
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 11,050 Reaction score 31,412 Oct 25, 2015 #53 Poleni sana kwa mahangaiko hayo , changamoto katika jambo lolote haziishi kutokea hjumlishia na jamii yetu isio na upendo! Bila uvumilivu hatuwezi kustahimili, lakini chakujipa moyo siku zote haki ndio yenye kushinda
Poleni sana kwa mahangaiko hayo , changamoto katika jambo lolote haziishi kutokea hjumlishia na jamii yetu isio na upendo! Bila uvumilivu hatuwezi kustahimili, lakini chakujipa moyo siku zote haki ndio yenye kushinda
wilbald JF-Expert Member Joined Dec 17, 2007 Posts 1,810 Reaction score 1,377 Oct 25, 2015 #54 Max aminia mwana.
jambotemuv JF-Expert Member Joined Feb 7, 2008 Posts 224 Reaction score 62 Oct 25, 2015 #55 Bado hali sii shwari. Basically no access to posts. Gofya 'New posts' utaambiwa hazipo mpya. Bofya ya zamani utaambiwa hadhi haikuruhusu!
Bado hali sii shwari. Basically no access to posts. Gofya 'New posts' utaambiwa hazipo mpya. Bofya ya zamani utaambiwa hadhi haikuruhusu!
K kinauche JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 7,681 Reaction score 2,215 Oct 25, 2015 #56 Poleni sana
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,553 Oct 25, 2015 #57 Masela Turkish awash dulia coz kila MTU tuliyemuuliza whatsapp VP JF anasema imezimwa tukaelewa tu jamaa washafanya yao
Masela Turkish awash dulia coz kila MTU tuliyemuuliza whatsapp VP JF anasema imezimwa tukaelewa tu jamaa washafanya yao
Monstgala JF-Expert Member Joined Aug 25, 2009 Posts 1,079 Reaction score 1,036 Oct 25, 2015 #58 JF Team Poleni sana kwa kazi ngumu. Tunafarijika kuona mmerudi.
Cathode Rays JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 1,738 Reaction score 1,495 Oct 25, 2015 #59 Poleni sana Life without JF kwa wakati kama huu ina ugumu wake
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,551 Reaction score 2,153 Oct 25, 2015 #60 Nimefurahi sana.