Alafu huyu jamaa anayehojiwa na ITv sijua mkurugenzi anaonyesha wazi kuwa kaletwa pale kutekeleza kitu fulani. Wenye nia nzuri na nchi hii tunaomba sana tena sana Mungu trend za matokeo ziendelee hivi ili waje wajaribu kulazimisha walichotumwa na waijue nguvu ya umma na nguvu ya HAKI.
Eti ile mchana anasema hata kama mtu ana kadi kama jina lake halionekani imekula kwake, anaongeza eti zipo kadi fake kwa hiyo tume haiwezi kujua kama hao wapiga kura ni halisi. Sasa mimi nikajiuliza kama watu wanahisiwa kumiliki kadi fake si wawakamate ili waverify uhalali wake kisha wawashitaki!
Hapa ndio unagundua kuwa Tanzania inazidi kuwa masikini kwa sababu hata baada ya kupoteza muda na mabilion ya pesa kuona kama tutapata mawazo mapya wanosimami yaani hawaelewi hata nukta kuwa huu mchakato nia yake ni kuzaa mwelekeo na mawazo mapya maana stumekwama ...au hawajamsikia hata Magufuli mwenyewe anavyolaani watendaji kama hawa!