kicharazio
Member
- Jun 25, 2013
- 10
- 2
Hongereni sana kwakuwazidi kete hao wa roho nyeusi
I've given up on Tanzania.
Majuha ni wengi mno.
Na ndo maana baada ya miaka 54 ya utawala uliofeli majuha bado wanaendelea kuipigia kura CCM kwa sababu the don't know any better.